Kistaaj
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 424
- 198
Hahahaha watu kwa manenoKwa hiyo atatumia katiba ya Russia. ?

Ulitakiwa umalizie hivi: Ujumbe huu umeletwa kwenu na watu wa Msoga wakishirikiana na watu wa LumumbaWana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
Kumbe Putin ni rais wa hapa Tanzania!Katiba inaruhusu mtu aliyewahi kuwa rais kugombea kwa vipindi vitatu lakini visiwe mfululizo. Angalia alichofanya PUTIN. Vipindi vyake viwili vilipoisha alikimbilia kwenye uwaziri mkuu, then akaja kugombea awamu ya tatu...
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
Jk ni mstaatabu han'gan'ganii madaraka kama Freemain Aikael Nkurunzinza yule mwenyekiti wa kudumu wa cdm
Kikwete mwenyewe alisema kachoka baada ya kazi ngumu. Sasa arudi tena ili aweje?
Hivi babu sea na kijana wake walishatolewa mkuu?wewe utakuwa unatumiwa na SHETANI.. KWA NINI UNAICHUKIA TANZANIA KIASI HIKI? HIYO MIAKA 10 YA KUFILISIWA UNAIONA MICHACHE UNATAKA KUTURUDISHA TENA UTUMWANI? mtu anayeweza hata kuwaza kuhusu kikwete kuwa rais tena huyo ni MHAINI ALIPASWA KUHUKUMIWA KIFO KABISA. INATOSHA KUWA NA MAUCHAFU KMA HAYA, NEXT TIME WATANZANIA HAWATOKUBALI.
Na hicho wanachofikiria sijui wanakifikiria kwa kutumia kichwa au sehemu nyingine..Sijui watu wengine mnawaza nini?
bila shaka wewe utakuwa mtu wa kaskazini kwa kuwa una mawazo mgando zaidi ya mafuta. Hivi kwa akili yako unadhani Jk watu hawampendi? Unadhani watu hawajui alichokifanya?Umekosa mada ya maana ya kupost mkuu?
Ni mtanzania yupi anataka hata Kikwete awe balozi wake wa nyumba kumi au hata Diwani?
Mchawi wa maendeleo ya nchi hii ni ujinga wa watanzania kama mtoa madaTushasahau!! Yaani hata mambo yanayofukuliwa kila siku tunaona si kitu kuliko kuongezeka kwa benki sijui nn, duh hatutoki aise
Dini....!Sijui watu wengine mnawaza nini?
awezi=haweziMh Jk alishamaliza kipindi chake awezi kurudi...