chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
hakyanani akirudi ikulu me nabadili uraia
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
Mbaya zaid anashabikia majengo ya watu wakati yy analala mbavu za mbwa.Hiki ni kichekesho kwa kweli
Mtoa mada anachokiona ni majengo eti arudi kwa sababu alijenga majengo mengi yenye nini?
Halafu akishajenga mengine ndio ukapige picha?
Kama unapenda picha za majengo ungeenda New York City Tanzania pia bado sanaaaa
Katiba inaruhusu mtu aliyewahi kuwa rais kugombea kwa vipindi vitatu lakini visiwe mfululizo. Angalia alichofanya PUTIN. Vipindi vyake viwili vilipoisha alikimbilia kwenye uwaziri mkuu, then akaja kugombea awamu ya tatu...
huyu limaini lake halichuji sumu vizuriWew lazima utakuwa na shida kwenye figo. Nguvu alizonazo ni kuongeza wezi tu wa mali ya umma.
you're very clever!!Hiki ni kichekesho kwa kweli
Mtoa mada anachokiona ni majengo eti arudi kwa sababu alijenga majengo mengi yenye nini?
Halafu akishajenga mengine ndio ukapige picha?
Kama unapenda picha za majengo ungeenda New York City Tanzania pia bado sanaaaa
Mkuu unataka huyu mkwere arudi wapi??Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
JUZI SI KUNA CHUO KILIFUNGWA KWA KUTOA ELIMU CHINI YA KIWANGO??? AU HUJUI?Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
hata kama angeweza kurudi, arudi kwa lipi alilofanya?Mh Jk alishamaliza kipindi chake awezi kurudi...
Sijui umesoma shule gani. Hizi elimu hizi ama kweli zinatia aibu. Hivi kweli unaweza kusema katiba yetu inamruhusu kugombea vipindi vitatu halafu ukatoa mfano wa Russia. Duh!! Hebu tumia simu hiyo hiyo unayotumia kupost u download katiba ya Tz utafute kifungu hicho unachosema. Bongo hii ukishakuwa rais kwa vipindi viwili ndo inakuwa imetoka hata kama we una uzuri wa malaika. Hakuna kurudia. Ni vipindi viwili tu.Katiba inaruhusu mtu aliyewahi kuwa rais kugombea kwa vipindi vitatu lakini visiwe mfululizo. Angalia alichofanya PUTIN. Vipindi vyake viwili vilipoisha alikimbilia kwenye uwaziri mkuu, then akaja kugombea awamu ya tatu...
urais unagombea vipindi viwili tu(yaani miaka kumi),siyo zaidi ya hapo,iwe mitano mitano mfululizo au mitano ukidondoka unacho kipindi kimoja,baaassssKatiba inaruhusu mtu aliyewahi kuwa rais kugombea kwa vipindi vitatu lakini visiwe mfululizo. Angalia alichofanya PUTIN. Vipindi vyake viwili vilipoisha alikimbilia kwenye uwaziri mkuu, then akaja kugombea awamu ya tatu...
na we ni jipu unaitaji kutumbuliwaWana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
1. Idadi ya wanafunzi wanaomaliza darasa la 7 bila kujua kusoma na kuandika imeongezeka mara dufuWana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.