Uwezekano wa Kikwete Kurudi 2020

Uwezekano wa Kikwete Kurudi 2020

Napata picha kama vile ni Mkwere mwenyewe ana ID hapa kisha anatuchezea kupata maoni ya watu. Dunia hii imejaa vituko
 
ikulu kulikuwa kwenu zamani si siku hizi. UN wana akili wewe usimfananishe ban ki moon na watu waso na akili. acha kuwatukana watu wenye akili. wazungu na wachina walishamtumia now hana maana tena. he sold our country. he sold everything..... ni afadhari nchi ibak bila rais ijulikane moja kuliko kuwa na mtu mwnye akili za kumb kumbi. ninyi mtakuwa mmelogwa na aliyewaloga amekufa. unapata wapi uwezo wa kumtaja mtu mwovu kwa ujasiri? huo ni ushetani kabisa. huwezi mtaja shetani kwa kuremba jina lake iliaonekane ni mtu mzuri . awe shetan au shetwani ni mwovu tu. nanyi msitutajie mashetan hapa.

Ngojeni amrithi Ban Ki-Moon UN ndo mshike adabu. Unaposema wa nini dunia inasema ina kazi. Nenda JK.
 
hawajatolewa, walimkosea mkubwa sehemu mbaya sana. babu seya alipata hukumu kubwa kwa issue ambayo kiukweli......
ila nmeota jana kuwa aliyekuwa rais na wanawe wana ID nying sana humu jamiiforums wanaanzisha uzi kujipima nafasi yao ikoje kwa watanzania. wanatest zali. kumbe kuna watanzania siku hizi wapo macho hawatak kurudia mauchafu yao tena. wana id nyingi wanapost na kutiana moyo wenyewe kwa wenyewe wakisaidiana na michepuko yao humu ndani.

Hivi babu sea na kijana wake walishatolewa mkuu?
 
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
Utakua umeambukizwa virusi vya ZIKA wewe.
 
Katiba inaruhusu mtu aliyewahi kuwa rais kugombea kwa vipindi vitatu lakini visiwe mfululizo. Angalia alichofanya PUTIN. Vipindi vyake viwili vilipoisha alikimbilia kwenye uwaziri mkuu, then akaja kugombea awamu ya tatu...

Kwa hiyo Putin aligombea awamu ya Tatu kwa kutumia Katiba ya Tanzania sio ?
 
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
Siyo tu kwamba hawezi kurudi bali hata yeye mwenyewe hiyo nia hana na wala si mtu wa tamaa ya kuraka madaraka hayo
 
Nafikiri mzee unafikiria kwa kutumia tumbo badala ya kichwa. Waulize hao walioporomosha magorofa hayo hela hizo wamezipata wapi kwa haraka?
 
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task. Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...

Dhaifu, kuadi wa mafisadi arudi Ikulu?! Wewe una matatizo ya akili! Si bora Ikulu ikakaa bure bila rais? Mtu aliyekuwa hajui kwa nini alikwenda ikulu kufanya nini! Kazi uvasco da gama; kubembea ughaibuni; kejeli, mipasho na vijembe basi! Give us a break wengine tunatamani tulisahau hilo jina haraka sana! Aaaaaargh!!
 
duh aisee jamaa alichokiona yy ni majengo tu tena siyo ya govt asilimia mia moja...
 
Ulitakaje kwa mfano. Ulitegemea idadi ya watu iongezeke benki zibaki zilexile? Majengo yasiongezeke? Shule zisiongezeke? Sio Tanzania tu, dunia nzima ndivyo ilivyo. Kwa hiuo hivo sio vitu vya kumpa mtu sifa. Hata km asingekuwepo bado vingeongezeka tu! Maendeleo hayapimwi kwa kuangalia idadi ya vitu tu! Always you have to factor in population growth ili ujue uko palepale au umesonga mbele
 
bila shaka wewe utakuwa mtu wa kaskazini kwa kuwa una mawazo mgando zaidi ya mafuta. Hivi kwa akili yako unadhani Jk watu hawampendi? Unadhani watu hawajui alichokifanya?

Mtu anayepapatikiwa na UN, leo hii kwa Akili Zako unasema watu hawakubali kuwa na kikwete kama Mjumbe wa Nyumba kumi?

Wakati mwingine unaweza kuvaa nguo na Ukajiona Umejisitiri lakini maneno yako tu yanaweza kukuvua nguo na kukuweka Uchi mbele ya Umati wa watu.. Jk hafanani na ukoo wako wala ndugu yako yoyote..

PUNGUZA WIVU KWA MWANAUME MWENZIO
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.

Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task.

Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).

Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.

Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.

Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.

Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...
Mission complete. Alisha Chukua chake mapema hivi sasa anatumia. Arudi kufanya nn
 
Mbumbumbu,unawaza vibaya,hivi nchi hii haina viongozi wazalendo?,hadi warudishwe mafisadi papaa?
 
Dhaifu, kuadi wa mafisadi arudi Ikulu?! Wewe una matatizo ya akili! Si bora Ikulu ikakaa bure bila rais? Mtu aliyekuwa hajui kwa nini alikwenda ikulu kufanya nini! Kazi uvasco da gama; kubembea ughaibuni; kejeli, mipasho na vijembe basi! Give us a break wengine tunatamani tulisahau hilo jina haraka sana! Aaaaaargh!!
Duh mkuu punguza hasira kidogo,inaonekana kama angekuwa ni mshkaji wa kitaa ungemsulubisha aicee.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom