Tishio la wahamiaji haramu na usalama wa Nchi yetu; ni lazima mamlaka zinazo husika kufanya kazi ya ziada

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,148
7,724
Baada ya Rais kuzungumzia tishio la wahamiaji haramu kwa usalama wa Nchi yetu, ni lazima mamlaka ya Uhamiaji pamoja na mamlka zingine zikafanya kazi zake kwa weledi, umakini na uadilifu.

Mikoa ya pembezoni kama vile Kigoma ni Mkoa ambao ni kichaka cha wahamiaji haramu wanao ishi bila utaratibu ambao wengi wao wanaishi kama Vila watanzania.

Mkoa wa DSM pia ni kichaka cha wahamiaji haramu, wengi wao wanaishi kinyume na taratibu.

Mamlaka zetu ni lazima zifanye kazi, wacheni kulala.

Kazi iendeleee
 
Back
Top Bottom