Wagner group katika kitisho kikubwa cha usalama wa raia Ulaya na Urusi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,274
Reaction score
112,046
Usalama wa raia katika mitaa mbalimbali ya mataifa ya Ulaya yanaoizunguka Ukraine pamoja na Urusi yenyewe inaweza kuwa katika hali mbaya baada ya maelfu ya wafungwa waliojiandikisha katika mpango maalum wa mamluki wa Wagner group wakishirikiana na serikali ya Urusi kukimbia vitani("deserting").

Inakadiriwa Wagner group imebakia na mamluki wafungwa 10,000 tu kati ya mamluki wafungwa 50,000 waliowapeleka vitani katika mpango mkakati wa Urusi kuongeza nguvu zake za mapambano katika uvamizi wa Ukraine. Hii inamaanisha mamluki wafungwa 40,000 wamekimbia mapambano kabla ya vita kuisha na wengine wameuwawa.

Zitahitajika nguvu za ziada kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya na Urusi yenyewe kupambana na wahalifu hawa, wengine wengi wao wakiwa sugu ambao kwa sasa watakuwa wamejipenyeza au wanaendelea kujipenyeza kurudi uraiani. Haya yatakuwa matokeo mengine mabaya zaidi katika uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
 
Inasikitisha sana ukizingatia kundi lenyewe linaajiriwa kutoa ulinzi kwa makampuni yanayofanya wizi wa madini katika nchi masikini zenye vurugu za kisiasa na ukosefu wa amani.
Haha kama vile wamagharibi walikua wanakuja kumwaga utajiri wao huku.......wote wezi tu shida mnataka kuchagulia watu wampende mwizi yupi, sahivi kila mtu na 50 zake pambaneni na wahuni wenzenu
 
Usalama wa raia katika mitaa mbalimbali ya mataifa ya Ulaya yanaoizunguka Ukraine pamoja na Urusi yenyewe inaweza kuwa katika hali mbaya baada ya maelfu ya wafungwa waliojiandikisha katika mpango maalum wa Wagner group wakishirikiana na serikali ya Urusi kukimbia vitani("deserting").

Inakadiriwa Wagner group imebakia na wafungwa 10,000 tu kati ya wafungwa 50,000 waliowapeleka vitani katika mpango mkakati wa Urusi kuongeza nguvu zake za mapambano katika uvamizi wa Ukraine. Hii inamaanisha wafungwa 40,000 wamekimbia mapambano kabla ya vita kuisha na wengine wameuwawa.

Zitahitajika nguvu za ziada kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya na Urusi yenyewe kupambana na wahalifu hawa, wengine wengi wao wakiwa sugu ambao kwa sasa watakuwa wamejipenyeza au wanaendelea kujipenyeza kurudi uraiani. Haya yatakuwa matokeo mengine mabaya zaidi katika uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Ooh!...itakuwa ndio sababu wameamua kusitisha kutumia wafungwa... too late....
 
Utafiti huu na kafanya? Au propaganda?
 
Vp Azov nao, Kundi la Kigaidi linapewa silaha za Kisasa, Amani ya Ulaya itakuepo kweli?
 
Wakienda kwenye nchi za magharibi wakazivuruga nadhani itakuwa vizuri maana na wao wame vuruga amani ya nchi nyingi.
 
Back
Top Bottom