Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Rule number four: Make it as short as possible. Wham, bam, thank you ma'am.
Rule number four: Make it as short as possible. Wham, bam, thank you ma'am.
Kwanini uwatupie lawama wakati hamna anaemlazimisha mwenzake?
Nwy kama ni lazima wewe kulaumu laumu wote, wanunuzi wasingekuwepo wauzaji nao wasingekuwepo, na kama wauzaji wasingekuepo wanunuzi wasingekuwepo.
Lizzy, wauzaji wapo pale kwa maslahi yao, hali mbaya ya uchumi plus uvivu wao wa kufikiri na uvivu wa kufanya kazi, wanunuzi hawana sababu yeyote ya msingi ya kununua bidhaa hiyo, wale walosema ni madomo zege sidhani kama hiyo ni sababu ya msingi. Hata ambao hawajenda suna hawana sababu ya kufanya hivyo. Mimi kweli nawalaumu wanaume, wasiende kuwanunua kwa wii moja tu, tuone kama wataendelea kuwepo
huyo atakua anachukua machangudoa wa kimboka bugurunii sh.200,lakn wale wa laki wasafi wanajipenda hupati kidonda wala upele...Ikiwatoza kodi ina maana inahalalisha hiyo biashara.Mie nashindwa kuelewa hivi mwanaume anayepata hiyo huduma hajisikii vibaya kuona kuwa wenzie wasio na idadi wanapata hiyo huduma toka kwa huyo huyo mtu? Mbaya zaidi wapo wanaume ambao wanafanya nao as if wako na wake zao ambao its safe hata kufanya mambo fulani!Kuna mkaka namfahamu ye kila siku ana madonda mdomoni kisa machangudoa, lol, to be honest angetakiwa mtu akitoe kufa kwa ajili yao nadhani mimi ningejitolea ili kunusuru kizazi hiki na kijacho.
Goo for you coz you know the rules, others dont!Oh My God, too bad!If you dont do the two then what is he/she for!
Back to the rules, if u dont kiss her then how comes you get sex with her? Which is bad, kissing or ...!
Hehehe @ double up
Hii rule ya msingi sana lazima itajwe awali ya zote ikiwezekana
Ilaumiwe serikali yetu kwa kutowatoza kodi