Uwepo wa makahaba/machangudoa, je tuwalaumu wanaume?

Hakuna wa kulaumiwa: Kila nayehusika natekeleza lengo lake. Na social need, kama imetumika vizuri.
 
Kwanini uwatupie lawama wakati hamna anaemlazimisha mwenzake?

Nwy kama ni lazima wewe kulaumu laumu wote, wanunuzi wasingekuwepo wauzaji nao wasingekuwepo, na kama wauzaji wasingekuepo wanunuzi wasingekuwepo.
 
Lizzy, wauzaji wapo pale kwa maslahi yao, hali mbaya ya uchumi plus uvivu wao wa kufikiri na uvivu wa kufanya kazi, wanunuzi hawana sababu yeyote ya msingi ya kununua bidhaa hiyo, wale walosema ni madomo zege sidhani kama hiyo ni sababu ya msingi. Hata ambao hawajenda suna hawana sababu ya kufanya hivyo. Mimi kweli nawalaumu wanaume, wasiende kuwanunua kwa wii moja tu, tuone kama wataendelea kuwepo
 
Sio sababu ya msingi kwako , ni sababu ya msingi kwao. Ndio maana wako tayari kulipa na kujiweka kwenye hatari ya kuambukizwa magonjwa kirahisi. Wengine hawahitaji/taka mahusiano kwasababu hawataki usanii, hivyo wanaona bora waende sehemu ambayo kila mmoja anajua kinachompeleka pale na wakimalizana kila mmoja anaelekea kwake.

Wanunuzi wakisusa hakutakua na biashara, wauzaji wakisusa vile vile hakutakua na biashara. Sema hamna aliye tayari kususa.
 
Ikiwatoza kodi ina maana inahalalisha hiyo biashara.Mie nashindwa kuelewa hivi mwanaume anayepata hiyo huduma hajisikii vibaya kuona kuwa wenzie wasio na idadi wanapata hiyo huduma toka kwa huyo huyo mtu? Mbaya zaidi wapo wanaume ambao wanafanya nao as if wako na wake zao ambao its safe hata kufanya mambo fulani!Kuna mkaka namfahamu ye kila siku ana madonda mdomoni kisa machangudoa, lol, to be honest angetakiwa mtu akitoe kufa kwa ajili yao nadhani mimi ningejitolea ili kunusuru kizazi hiki na kijacho.
huyo atakua anachukua machangudoa wa kimboka bugurunii sh.200,lakn wale wa laki wasafi wanajipenda hupati kidonda wala upele...
 
Goo for you coz you know the rules, others dont!Oh My God, too bad!If you dont do the two then what is he/she for!
Back to the rules, if u dont kiss her then how comes you get sex with her? Which is bad, kissing or ...!

Maimuna wa ukweli.... Nimerudia kusoma mara kumi lakini sikuambulia chochote....
 
Mam enock, Una maanisha nini kwa kusema Maumuna wa ukweli?Broken?Nisahihishe basi si unaju humu JF tupo darasa la saba na ha wenye PHD?
 
HAWA WALAUMIWE
1. wanawake walioko kwenye ndoa- wengi wao wamekuwa wakiwanyima tendo la ndoa waume zao na matokeo yake wanaume wanatoka nje ya ndoa kutafuta kupooza tamaa zao. kama wanaume watapewa haki yao ya ngono katika ndoa zao kila wanapohitaji basi wateja wa machangudoa watapungua sana

2. kundi la pili, wanawake wanaojiuza, wanapenda mafanikio yasiyo na jasho kitu ambacho ni hatari kwao, kwa afya zao na jamii kwa ujumla. haya ni matokeo ya wanawake kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu

3. kundi la tatu serikali, kwani ikiamua itawakomesha kabisa, lakin police wakiwakamata nasikia nao wanaomba ngono na kuchukua fedha kwa CDs, sasa kazi itakoma vipi

4. kundi la nne, jamii yenyewe kwani hatuwajui, hv mtu anashinda amelala nyumbani halafu usiku anaondoka kwann jamii isimweke kitako aeleze anaenda wapi na kufanya nn. je pale wanapofanya baishara hakuna viongozi wa mtaa, wakiamua kuwaondoa unadhni watashindwa?

mwisho wa yote ni matokeo ya watu kukataa kanuni za Mungu za kufanikiwa na neno la Mungu, Biblia inasema kila mtu kwa jasho lake atakula. hivyo, ni dhambi zinawatesa kutokana na wao kukataa kulitii neno la Mungu
 
4. kundi la nne, jamii yenyewe kwani hatuwajui, hv mtu anashinda amelala nyumbani halafu usiku anaondoka kwann jamii isimweke kitako aeleze anaenda wapi na kufanya nn. je pale wanapofanya baishara hakuna viongozi wa mtaa, wakiamua kuwaondoa unadhani watashindwa?

mwisho wa yote ni matokeo ya watu kukataa kanuni za Mungu za kufanikiwa na neno la Mungu, Biblia inasema kila mtu kwa jasho lake atakula. hivyo, ni dhambi zinawatesa kutokana na wao kukataa kulitii neno la Mungu
 
tatizo lingine waheshimiwa wanaenda kuwachukua cds kwa magari yao ya kifahari hivyo kuwafanya waone ni jambo zuri na kazi inayofaa
 
akitokea kiongozi anataka kuwaondoa wanakingiwa kifua kimya kimya na viongozi wa serikali ss kwann wasiendelee kuwepo
 
si mnakumbuka KOVA alivyoingia kwa nguvui kubwa ya kuwakamata machangudoa, nguvu yake iliishia wapi kama si kunyamazishwa na wakubwa
 
nenda sinza utajua Kova alifanya kazi kubwa kwani CDs wamepungua sana sio sawa na kipindi kile walipopangana barabarani kama nyanya sokoni
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom