Habarini wana JamiiForums, heri ya Mwaka mpya.
Naomba kuuliza kuwa ni sahihi kuweka pattern kwenye simu kwa wale wanandoa au wachumba. Kwani kwa wanandoa ni tayari mmeshakuwa mwili mmoja na hakuna siri baina yenu mnatakiwa kuwa wazi kwa kila mnalofanya.
Na kwa wale wachumba tena hao ndo hawafai kabisa kufichana kitu kwani wao wanakaribia kuwa Mwili mmoja kwanini wanaweka hizo pattern kwenye simu.
Karibuni wakuu kuchangia.
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
Anasema sababu za kiofisi mimi yangu iko wazi masaa yote na akitaka kutumia anatumia tuWewe ya kwako ina PW pia? na pengine ukimuuliza anatoa sababu zipi?
Password kwenye simu ni muhimu kama kuna sababu ya msingi....mfano mimi uweka password kwenye simu yangu sababu nalipa ''post paid''.....maana mtu mwingine asije aka'miss-use'' nikajaletewa bill ya ajabu bure.na password mwenzi wangu anaijua.Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
<br />We acha tu nashindwa kuelewa kulikoni? au kuna wana JF humu humu wana nizunguka?
Bora wewe mwenzako anaijua hawa wasiotoa password ndio kimeoPassword kwenye simu ni muhimu kama kuna sababu ya msingi....mfano mimi uweka password kwenye simu yangu sababu nalipa ''post paid''.....maana mtu mwingine asije aka'miss-use'' nikajaletewa bill ya ajabu bure.na password mwenzi wangu anaijua.
Ni muhimu tu kama wewe ni cheater period.
Wakati mwingine tusitake mambo yooote yaende kama tutakavyo.Jamani kweli hii ni kuwa mwili mmoja? au ni zaidi ya mwili mmoja? kaswali ka uchokozi presha zitatokana na nini?