Uwekaji wa password kwenye simu kwa wapenzi/kwenye ndoa

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?

Habarini wana JamiiForums, heri ya Mwaka mpya.

Naomba kuuliza kuwa ni sahihi kuweka pattern kwenye simu kwa wale wanandoa au wachumba. Kwani kwa wanandoa ni tayari mmeshakuwa mwili mmoja na hakuna siri baina yenu mnatakiwa kuwa wazi kwa kila mnalofanya.

Na kwa wale wachumba tena hao ndo hawafai kabisa kufichana kitu kwani wao wanakaribia kuwa Mwili mmoja kwanini wanaweka hizo pattern kwenye simu.

Karibuni wakuu kuchangia.
 
Jamani mie nina ugomvi na mtu wangu yaani password simu zote ya kazini na yakwake yaani ananikera sana najua naibiwa tu ila sina jinsi
 
Anasema sababu za kiofisi mimi yangu iko wazi masaa yote na akitaka kutumia anatumia tu

Na inapoita anaongelea sebuleni chumbani au bafuni? na usiku inakuwa kwenye mode gani? Loud, Vibrate, Quite au Normal?
 
There is no transparency between the couples........... otherwise, hakuna haja ya passwords. Suppose mwenye simu kaugua ghafla, simu ya mwenzake haina credit,,, inakuwaje na yeye passwords haijui? Mwenzako akiweka password, hebu muulize ni ya nini? Anamfungia nani simu yake? Isije kuwa ni wewe!
 
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
Password kwenye simu ni muhimu kama kuna sababu ya msingi....mfano mimi uweka password kwenye simu yangu sababu nalipa ''post paid''.....maana mtu mwingine asije aka'miss-use'' nikajaletewa bill ya ajabu bure.na password mwenzi wangu anaijua.
 
Password kwenye simu ni muhimu kama kuna sababu ya msingi....mfano mimi uweka password kwenye simu yangu sababu nalipa ''post paid''.....maana mtu mwingine asije aka'miss-use'' nikajaletewa bill ya ajabu bure.na password mwenzi wangu anaijua.
Bora wewe mwenzako anaijua hawa wasiotoa password ndio kimeo
 
Mambo ya simu bwana, mie haweki ila sigusi kabisa siku hizi lol
na mie yangu hagusi sitaki presha za rejareja mie

Jamani kweli hii ni kuwa mwili mmoja? au ni zaidi ya mwili mmoja? kaswali ka uchokozi presha zitatokana na nini?
 
Jamani password ni nzuri sana kama unatumia katika uaminifu na mpnz wako....
Na lazma mwenzako ajue paasord yako cz yy ni muhusika wa karibu kwako...
Mfano mm kwenye simu yanu zipo picha za mpnz wangu tukiwa kitandan uchi na mpnz wangu ni mtu maarufu anaejulikana...sasa bila kuweka paasword we wadhani ningefanyaje hapo na kila mtu anashika cm yang..
 
hahahaha nyumba kubwa bana....

mi sijaweka na yeye hajaweka na anaweza akatumia yangu na nami natumia yake pia
sema inatakiwa tu kuheshimu simu ya mwenzako.

Je unaweza mruhusu mwenziwako akae na simu yako siku nzima?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom