Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
|
Haya ndiyo mabafu ya uwanja wa sokoine jijini mbeya ambayo kwa sasa yamekuwa yakitumika kama vyoo na baadhi ya watumiaji kutokana na hali ya vyoo kuwa mbaya |
|
Ukuta wa duka la mojawapo lililo nje ya uwanja wa sokoine ukiwa unanyunyizwa kwa haja ndogo za watumiaji wake . |
Uliza mmiliki wake ni nani.......utashangaa
Mmiliki wake si anajieleza kwenye maandishi makubwa kabisa hapo mbele ya uwanja...CCM...
Hilo si ni jina la uwanja mkuu?....sidhani kama jina linamaanisha umiliki pia....ETIHAD Stadium?
Tunamsubiri Vasco aende mtoni akatuombee msaada wa kujenga vyoo!AIBU TFF WAMELIONA HILI? :WAMILIKI WA UWANJA WA SOKOINE WATELEKEZA HUDUMA ZA VYOO
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
Haya ndiyo mabafu ya uwanja wa sokoine jijini mbeya ambayo kwa sasa yamekuwa yakitumika kama vyoo na baadhi ya watumiaji kutokana na hali ya vyoo kuwa mbaya
<tbody>
</tbody>
Ukuta wa duka la mojawapo lililo nje ya uwanja wa sokoine ukiwa unanyunyizwa kwa haja ndogo za watumiaji wake .
<tbody>
</tbody>Hali ya uwanja wa sokoine jijini Mbeya imeelezwa kuwa mbaya na huenda ikawa chanzo cha magonjwa ya mlipuko katika jiji hilo wakati huu tukielekea kwenye msimu wa masika