Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 72,943
- 148,225
[h=3]AIBU TFF WAMELIONA HILI? :WAMILIKI WA UWANJA WA SOKOINE WATELEKEZA HUDUMA ZA VYOO[/h]
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
Haya ndiyo mabafu ya uwanja wa sokoine jijini mbeya ambayo kwa sasa yamekuwa yakitumika kama vyoo na baadhi ya watumiaji kutokana na hali ya vyoo kuwa mbaya |
<tbody>
</tbody>
Ukuta wa duka la mojawapo lililo nje ya uwanja wa sokoine ukiwa unanyunyizwa kwa haja ndogo za watumiaji wake . |
<tbody>
</tbody>
Hali ya uwanja wa sokoine jijini Mbeya imeelezwa kuwa mbaya na huenda ikawa chanzo cha magonjwa ya mlipuko katika jiji hilo wakati huu tukielekea kwenye msimu wa masika