Uwanja wa soka wa Somalia ulivyo sasa.

Uwanja wa soka wa Somalia ulivyo sasa.

Hata magoli washag'oa..hawa jamaa mi ma...kbsa.
 
Hata magoli washag'oa..hawa jamaa ni mata...kbsa.
 
Ile timu ambayo huwa inashiriki Kagame Cup na kufanywa punching bag na timu nyingine inafanyia mazoezi wapi?

Eastleigh.....Nairobi

somalia_1657693c.jpg
 
Uislaam unahimiza michezo.

Vita ya ndani ya wenyewe kwa wenyewe ndio imeifikisha Somalia hapo ilipo. Hizi nyingine ni propaganda za kifitna tu:

RRNTK.jpg

fifa13stadeduroifahd.jpg

After the announcement of the Saudi Professional League in FIFA 13,a new stadium will arrive with it!The King Fahd International Stadium will be available in FIFA 13!The stadium is the home ground of the Saudi Arabia national football team,that most probably will be featured in FIFA 13!Until the official confirmation we have a beta preview screen of the stadium in-game:
 
Uislaam unahimiza michezo.:target:

Vita ya ndani ya wenyewe kwa wenyewe ndio imeifikisha Somalia hapo ilipo. Hizi nyingine ni propaganda za kifitna tu:

kweli kichwa matope matupu, eti mtu kabisa awafitinie al shabab ili afaidike nini???!! sura kama mjitoa muhanga wa bomu na kuuwa watoto/watu wadogo wasio na hatia!!
 
kweli kichwa matope matupu, eti mtu kabisa awafitinie al shabab ili afaidike nini???!! sura kama mjitoa muhanga wa bomu na kuuwa watoto/watu wadogo wasio na hatia!!

Mkuki kwa nguruwe tu kwa binaadam mchungu.
 
niliwahi kuona mahali kwamba hata wa Lake Tanganyika uko hivi kwa sasa
 
niliwahi kuona mahali kwamba hata wa Lake Tanganyika uko hivi kwa sasa

Lake Tanganyika n kutokana na usimamizi mbovu. Ila tofauti na huko Somalia ambapo alshabaab wanasheria za kipuuzi
 
hatutaki michezo ya uchiuchi. mambo ya somalia we mtoto wa manzese yanakuhusu nn. alshabab huwa hawapigi marufuku jambo ila kwasababu maalum. full stop
 
ukikarabatiwa nani atacheza kama hali yenyewe ya usalama ni mashaka matupu.........cha kudeal nacho cha kwanza kabla ya kukarabati huo uwanja ni hao al shabaab
 
hatutaki michezo ya uchiuchi. mambo ya somalia we mtoto wa manzese yanakuhusu nn. alshabab huwa hawapigi marufuku jambo ila kwasababu maalum. full stop

walipolipua mahafali ya chuo kikuu pekee somalia sababu ilikuwa nini?
 
hatutaki michezo ya uchiuchi. mambo ya somalia we mtoto wa manzese yanakuhusu nn. alshabab huwa hawapigi marufuku jambo ila kwasababu maalum. full stop

Hiyo ni kwa mujibu wa dini au utamaduni wa kisomali!?
Na kama ni dini mbona ni kwa wasomali tu
 
Mkuki kwa nguruwe tu kwa binaadam mchungu.

wewe bibi nadhani unamatatizo ya akili.! Yani kila kitu wewe unahc unaonewa au kuna fitna... Wewe ndio ile dizaini ile kipindi uko shule ulikuwa unaenda kwa mganga ili ufaulu bcoz unadhani kufeli ni mkono wa mtu.!
 
Back
Top Bottom