Uwanja wa soka wa Somalia ulivyo sasa.

Uwanja wa soka wa Somalia ulivyo sasa.

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,935
Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia unavyoonekana kwa sasa. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimepiga marufuku soka kuchezwa kwenye Uwanja huo na sehemu nyingine yoyote ya Mogadishu tangu mwaka 2008.

Serikali ya Somalia juzi imeingia mkataba na kampuni ya moja ya China kukarabati miundombinu ya Uwanja huo lakini imeripotiwa kwamba
kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa na inasita kuanza kazi.

attachment.php


Source: gazeti la mwanaspoti
 

Attachments

  • 1380127814589.jpg
    1380127814589.jpg
    42.6 KB · Views: 2,475
Hawa Al Shabaab wamezidi hata kucheza mpira
 
wachezaji wameshika mitutu wanaua wanadamu wenzao kama kuku.
 
Ile timu ambayo huwa inashiriki Kagame Cup na kufanywa punching bag na timu nyingine inafanyia mazoezi wapi?
 
Ile timu ambayo huwa inashiriki kagame cup na kufanywa punching bag na timu nyingine inafanyia mazoezi wapi?

Huwa wanakusanyikia kenya then ndio wanaenda kwenye mashindano.
 
sasa kama wanaogopa kushambuliwa,wanafuata nini Somalia? si waende Malawi tu.
Nalog off
 
Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia
unavyoonekana kwa sasa. Kikundi cha
kigaidi cha Al Shabaab kimepiga
marufuku soka kuchezwa kwenye
Uwanja huo na sehemu nyingine
yoyote ya Mogadishu tangu mwaka
2008. Serikali ya Somalia juzi imeingia
mkataba na kampuni ya moja ya China
kukarabati miundombinu ya Uwanja
huo lakini imeripotiwa kwamba
kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa
na inasita kuanza kazi.View attachment 113702
Source: gazeti la mwanaspoti

China si wanajitia hawajali chochote sasa inakuaje wamepewa tender na wanaigwaya?
 
532078_631757903511063_496276965_n.jpg



Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia unavyoonekana kwa sasa. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimepiga marufuku soka kuchezwa kwenye Uwanja huo na sehemu nyingine yoyote ya Mogadishu tangu mwaka 2008. Serikali ya Somalia juzi imeingia mkataba na kampuni ya moja ya China kukarabati miundombinu ya Uwanja huo lakini imeripotiwa kwamba kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa na inasita kuanza kazi.

 
nakumbuka Taliban pia walipiga marufuku soka wakati wakitawala Afighanstan. Ikitokea soka ikachezwa kwa sababu maalum, wachezaji hawakutakiwa kuvaa bukta bali track suit na fulana za mikono mirefu na ikifika mudanwa swala, mpira husimama kwa muda. Pia wakati wa kombe la dunia, Al Shabab walipiga marufuku watu kuangalia huo mpira na kutekeleza hilo walikuwa wanapita majumbani kusikiliza wapi wanaangalia mpira so wale wakaidi wachache walikuwa wanaangalia kibubu (muting the voice). Najiuliza hii ndivyuo dini inavyotaka au upuuzi wao Al Shabab na Taliban tu?
 
Haya ni mateso ni kwanini wanafanya hinyo?

[SIZE=+3][FONT=Arial,Helvetica][SIZE=+3]Taliban arrest soccer players for wearing shorts
[/SIZE][/FONT][/SIZE]

football.jpg


A Pakistani football team that went to play some matches in the Afghan city of Kandahar has returned home after being arrested for wearing shorts.
The Taleban authorities said the wearing of shorts during a match violated the Islamic dress code.
The players were not only arrested, but also had their heads shaved as punishment.
The Pakistani team, from the border town of Chaman, had gone to Kandahar for a series of friendly matches.
On Saturday, they were in the middle of their third match, when the Taleban authorities moved into the stadium arresting 12 members of the squad.
Another five Pakistani players managed to escape.
But the 12 who were detained had their heads shaved as punishment before being sent back to Pakistan.

Source: Taliban arrest soccer players for wearing shorts

Natamani timu yetu ya taifa iende huko, kwani tayari tuna mahusiano mazuri baada ya kumpeleka bondia.
 
Wanawanyima watu wa somalia fursa!!!

jambo ambalo sielewi ni kuwa sheria za kiislamu kwani hazihurusu mchezo wa mpira wa miguu.
nasema haya kutokana na kuwa alshabaab kufuata sheria za kuislamu.
 
Back
Top Bottom