Uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.

Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?

Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?
Justification zao hazina maana. Yaani wametumia miezi 2 Kuja na hili jibu la uwanja wa Geita. Kwa uchumi wetu Tanzania haihitaji viwanja vingi vya ndege kihivyo.

Polepole anadai kuwa uwanja uko km 20 toka nyumbani kwa Magufuli akijaribu kuutenganjsha na Chato. Ni obvious kuwa viwanja vya ndege hujegwa nje ya makazi ya watu.
 
JK ataongea nini wkt Mkewe na Mtoto wake Rizmoko wanagombea ubunge kupitia CCM.

Na kwa kujipendekeza hua yuko njema kishenzi.
 
Kwahiyo utoke mainland ukapande charter plane kisiwani, uko ccm kuna mtu mwenye akili kweli?
Fikra finyu zinakusumbua. Ukiwa mkazi wa Pwani sio lazima utimie kiwanja kilicho Pwani tu.

Itakuwa ni kituko mtu atoke Kisarawe aipite Airport Kipawa aende Bagamoyo kufuata Airport, just because yeye ni mkazi wa Pwani.
 
Anatosha kwenye ***** yako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa ....wewe ni sampuli ya washabiki na wanazi wa mkazi wa Brussels...kama wewe huna adabu unaweza kutukana strangers je huyo muasisi wa ubongo wako yupoje? No wonder anawatukana hadi Polisi.

October 28th kura za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ebu nambie kunatusi gani hapo..?sema mindset zenu mboga mboga zimejaa vumbi..endelea kuimba mapambio na kumtukuza mungu mtu wenu.

Being mboga mboga ni shame kwa familia na jamii yako..na ukute upo kwa shemeji yako unasubiri ugali huna future yeyote bure kabisa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ebu nambie kunatusi gani hapo..?sema mindset zenu mboga mboga zimejaa vumbi..endelea kuimba mapambio na kumtukuza mungu mtu wenu.

Being mboga mboga ni shame kwa familia na jamii yako..na ukute upo kwa shemeji yako unasubiri ugali huna future yeyote bure kabisa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hahahah! Usikute PAYE yangu ndio mshahara wako wewe acha madharau kijana.

October 28th wewe na familia yako mkampigie kura JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huyu mzee anataka kuharibu, kwani geita ni chato, geita ni mji na makao makuu ya mkoa wa geita, inawezekana vipi eti uwanja wa ndege wa geita ukawa chato zaidi ya km 100 kutoka geita mjini ambako ni kijijini kwa mheshimiwa
Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.

Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?

Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?
 
Umeona ilivyo ngumu kumeza? Usidharau usio wajua.

Kupingana mawazo na bado tukaelewana ndio unatufanya tuwe binadamu

October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwani Dar es salaam ni mkoa wa Pwani? na hiyo Ngerengere ni mkoa wa Pwani.
Bagamoyo airport sijawahi kuisikia, labda ndio unijulishe leo kwamba ipo na uelekeze ilipo.
Huwezi kujua kwa kuwa siyo field yako inayohusiana na ndege! Sisi tunajua! Kwa mfano kama uwanja upo ngerengere utakuwa punguani uweke uwanja mwingine wenye hadhi ya Ngeregere hapo Chalinze au maeneo mengine yoyote ya Kibaha. Pia kama huna taarifa uwanja wa Dar katika long term plan uwanja wa Kimataifa utajengwa maeneo ya Kibaha. Bagamoyo uwanja wa ndege mdogo upo maeneo ya Kerege Bagamoyo baada ya kupita shule ya Baobao!
 
Kerege kuna uwanja wa ndege? Kama ule wa Chato? Halafu hauonekani? Labda ni uwanja wa maruhani au wale warukao na ungo usiku! Wacha nicheke tu maana hakuna namna!
 
Huwezi jua wewe. Ulitaka uwepo kama wa Dar au?
 
Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.

Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?

Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?

Uko Bagamoyo. Ni kama ule wa Morogoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom