Uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.

Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?

Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?
Arusha kwenye hatuna tunatumia wa KIA
 
JK born town alikuwa anamng'ong'a Magufuli. Naye kwa ushamba wake akajua anasifiwa kwa kujenga airport ya kimataifa shambani kwake kama Mobutu na Gbadolite yake
 
Arusha kwenye hatuna tunatumia wa KIA
Arusha kuna airport iko Kisongo. Lakini siyo kama ile ya Chato, inafanana na hii ya Dodoma.
Pia kuna airports nyingine za mikoa kama ile ya Nduli (Iringa), ya Mbeya (iko eneo la mafiati), ya Moshi (iko Soweto), ya Tanga nk. Katika hizo zote hakuna inayokaribia ukubwa wa ile ya Chato.
 
Havina hazi ya kuwa viwanja vya ndege mkuu, Chatto hata Mwanza wanasumbiri lakini ndege zinazotua ni za mtukufu mara mbili kwa mwaka.
 
Kweli kabisa, kama ule wa Morogoro ni airstrip tu imeota majani wafanyakazi huwa wanafyeka kwa kwanja na kupitisha ufagio kabla ndege haijatua, na ndege zake ni vile vidogo vibajaji. Iringa pale Nduli hali ni hiyohiyo. Shinyanga pale Ibadakuli, Bukoba na Mtwara vyote havikaribii hiyo Chato Airport. Hata Songwe Airport ambayo inapokea ndege kila siku asubuhi na jioni nimeambiwa ni ndogo kuliko hiyo Chato.
Kilichonishangaza, licha ya ukubwa wa Chato airport, Tanzania Airports Authority (TAA) haijaiorodhesha katika tovuti yake kivyovyote.
Tovuti ya TAA Tanzania Airports Authority imeorodhesha airports zilizoko nchini katika categories 3: international airports, domestic entry and exit, na airstrips. Chato airport haijaorodheshwa. Wanajua sababu.
 
Tunafanyiwa mambo ya hovyo sn na huu utawala
 
Soma uelewe.Kwasabu kama geita haikua na uwanja,maana uliokua unatumika ni airstrip ya mgodini(GGM).sasa kwanini badala yahuo uwanja wa geita kama mkoa kujengwa geita mjini ambako ungeweza kuhudumia watu wengi zaidi na wilaya zake badala yake ukaenda kujengwa wilayani?.Kwahiyo hoja ya mtoa mada ni kujengwa uwanja wa mkoa kijijini kama ambavyo Jk ameutetea kwamba ni wa mkoa na akilinganisha pia na mikoa mingine isiyokua na uwanja.
Mkuu Geita ni sawa na pwani kijografia?
 
JK is a street smart dude! Alisema vile kwa makusudi ili kuwashtuwa watu waje na hoja hii kuwa yeye mbona hakujenga uwanja wa ndege mkoa wa pwani?
Eti ee? Pale mtu anapodhani mawazo yake ni "Universal" !
 
Huko pale Bagamoyo ukikata ile roundabout unsnyooka kama unaelekea msata. Mkono wa kushoto. Kuna Bango ila huwa naona nyasi tu labda ni special kwa helicopter na drones
 
Back
Top Bottom