Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,842
- 3,616
Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.
Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?
Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?
Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?