Uwanja wa ndege KIA: Manusura wa ajali ya wanafunzi wa Lucky Vincent wawasili, walakiwa na RC Kilimanjaro

Akili kila Binadamu anazo ila tatizo ni matumizi yake tu ila GENTAMYCINE ni ' Knowledgeable ' sana. Sijui una swali lingine ili nikujibu chap chap? Pambana na hali yako Mkuu na kama humo Kichwani mwako kumejaa tu ' Vumbi ' hilo ni tatizo lako na usitake kutulazimisha na wengine tukawa nalo.
Suala la ndege kupata ajali linahusiana vipi na mapokezi ya hawa watoto?
 
Karibuni watoto ila naumia kwa sbb watoto wengi wanapoteza maisha kwa system mbovu ya huduma za afya nchini. Kuna wengi wanatamani pia wangeokoa maisha ya wapendwa wao ila ndo hivyo tena.
 
Kama una IQ ndogo ya Panzi kamwe huwezi kunielewa GENTAMYCINE.
Kwa taarifa yako ninayo tena 90+
tatizo lako hata kufumba na kufumbua macho utajidai unatumia IQ...Huna lolote acha watu wakuone wakusifu na siyo kujisifusifu mwisho unakuja kuzungumzia mambo ya ndege kupata ajali kwenye sehemu watu wasingependa jambo kama hilo litokee tena machoni mwao!
 
Inawezekana kwenye kichwa changu nafikiria tofauti sana.. " Hawa walikwenda USA kutibiwa kwa msaada wa shirika hilo la misaada na Wamarekani kwa ujumla, tuwashukuru Wamarekani na shirika hilo la misaada".

Hii ni nini tafsira yake kwa Watanzania tena hasa uwepo wa Mkuu wa mkoa, wawakilishi wa vyama na mwakilishi wa makamu wa Rais.
 
Tafsiri ni kwamba tunaongozwa na mazuzu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amewaongoza wakazi wa mkoa huo kuwapokea wanafunzi watatu wa shule ya Lucky Vincent waliowasili asubuhi hii kutoka Marekani.
ANNA%2BPICHAZ.jpg

Wanafunzi waliorejea ni Doreen mshana,Sadia Awadh na Wilson Tarimo
Wanafunzi hao walianza kushuka mmoja mmoja kutoka kwenye ndege hiyo.
Wanafunzi hao manusura wa ajali iliyotokea mwezi wa tano wamelakiwa na umati wa watu wakiwamo Wanafunzi wenzao wa shule ya Lucky Vicent.
 
Akili kila Binadamu anazo ila tatizo ni matumizi yake tu ila GENTAMYCINE ni ' Knowledgeable ' sana. Sijui una swali lingine ili nikujibu chap chap? Pambana na hali yako Mkuu na kama humo Kichwani mwako kumejaa tu ' Vumbi ' hilo ni tatizo lako na usitake kutulazimisha na wengine tukawa nalo.
Naona unachokozwa mkuu!!

Lakini point yako ni muhimu..Mkuu wa shule St Vincent ameshitakiwa!!

Je hiyo ndege nayo ikipata ajali?!?!
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo hajaonekana Kwenye tukio la kuwapokea watoto watatu walioenda kutibiwa Marekani, kwa mujibu wa Ratiba iliyotolewa jana Mgeni Rasmi wa tukio anaonekana ni mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

Tukio hilo linarushwa LIVE Kwenye vyombo vya habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom