Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 27,056
- 50,461
Hahahahaaaaamambo dada yangu. nakusalimia mama
Hahahahaaaaamambo dada yangu. nakusalimia mama
Suala la ndege kupata ajali linahusiana vipi na mapokezi ya hawa watoto?Akili kila Binadamu anazo ila tatizo ni matumizi yake tu ila GENTAMYCINE ni ' Knowledgeable ' sana. Sijui una swali lingine ili nikujibu chap chap? Pambana na hali yako Mkuu na kama humo Kichwani mwako kumejaa tu ' Vumbi ' hilo ni tatizo lako na usitake kutulazimisha na wengine tukawa nalo.
Suala la ndege kupata ajali linahusiana vipi na mapokezi ya hawa watoto?
cajojo unanicheka eee,, afu umenifanyia kitu mbaya sanaaaHahahahaaaaa
Kwa taarifa yako ninayo tena 90+Kama una IQ ndogo ya Panzi kamwe huwezi kunielewa GENTAMYCINE.
Inawezekana kwenye kichwa changu nafikiria tofauti sana.. " Hawa walikwenda USA kutibiwa kwa msaada wa shirika hilo la misaada na Wamarekani kwa ujumla, tuwashukuru Wamarekani na shirika hilo la misaada".
Hii ni nini tafsira yake kwa Watanzania tena hasa uwepo wa Mkuu wa mkoa, wawakilishi wa vyama na mwakilishi wa makamu wa Rais.
hao watoto wapo huku JfKaribuni nyumbani, sahauni machungu maisha lazima yaendelee. Jitahidini msome kwa bidii nanyi huenda mkaja kuwa msaada kesho kwa wanaohitaji kusaidiwa.
Tanzania ukiwa extrovert na mwenye kiherehere basi wewe ni kiongoziTafsiri ni kwamba tunaongozwa na mazuzu.
Naona unachokozwa mkuu!!Akili kila Binadamu anazo ila tatizo ni matumizi yake tu ila GENTAMYCINE ni ' Knowledgeable ' sana. Sijui una swali lingine ili nikujibu chap chap? Pambana na hali yako Mkuu na kama humo Kichwani mwako kumejaa tu ' Vumbi ' hilo ni tatizo lako na usitake kutulazimisha na wengine tukawa nalo.