Uwanja wa ndege Chato sasa kiunganishi kikubwa kanda ya Ziwa Victoria na Magharibi

Nilitegemea uwanja unekuwa busy sana siku ya mazishi ya Mwendazake, lakini ni kama viongozi wote walikwenda kwa magari
Ulikuwa sio Uwanja wa lazima ila kwakua Familia ya Shujaa wa Mazezeta walikuwa wanataka kupiga fedha zetu walipakodi ndio wakalazimisha.
 
Ulikuwa sio Uwanja wa lazima ila kwakua Familia ya Shujaa wa Mazezeta walikuwa wanataka kupiga fedha zetu walipakodi ndio wakalazimisha.
Majuzi ametua Majaliwa na leo ametua Mpango tena kwa ndege ndogo, sijui uko umbali gani toka Geita na Chato
 
Huu ndo unaouzungumzia au mwingine mkuu
C360_2021-04-12-19-45-44-252.jpg
 
Icho kiunganishi kinatumiwa na viongozi tu??? Mbona hatuoni wananchi wakikitumia???

Tena viongozi wanaokitumia ni wake wanaotaka kwenda kupiga picha kwenye icho kibanda maiti chenu 😃😃

Hakuna faida yeyote kwenye huo uwanja. Ni hasara kwa Taifa ndo mana hata ATCL wamesitisha Safari Kwa sababu ni hasara
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanada ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa.

Makamu wa rais akiwasili Chato kisha kuelekea Kigoma kwa kazi za chama.
View attachment 1784882
 
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa.

Makamu wa rais akiwasili Chato kisha kuelekea Kigoma kwa kazi za chama.
View attachment 1784882
This is a very good news.
P
 
Back
Top Bottom