Uwanja wa maswali na majibu kwa wasichana na wavulana

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,710
8,008
Habari wana JF...

Moja kwa moja kwenye mada, kumekuwa na maswali ambayo watu walio kwenye mahusiano, waliowahi kuwa kwenye mahusiano na wanaoingia kwenye mahusiano yanawatatiza na kuwapa wakati mgumu kupata majibu ye kweli. Uliza swali lolote linalokutatiza na wadau naomba tuwe na honest answers (jibu kwa ukweli bila kupindisha)....jinsia 'ke' tuulizeni jinsia 'me' na sisi tutajibu na tutauliza nanyi mtujibu.

Kabla hujauliza swali andika 'Swali kwa wanaume:' au 'Swali kwa wanawake:' ili tufahamu unaelekeza swali kwa jinsia ipi

Karibuni....
 
Swali kwako Author
Wewe ni jinsia gani! na kwa nini hujaanza kuweka swali lako ili kuonesha ushiriki wako ktk kuuliza,?
 
Wanawake wananishangaza sana siku hizi.. Wananyoa nywele zote kwenye K... Yani panabaki pamekakamaa kama kifuu cha nazi.

Eti kwa nini!?

Asa si mpake mafuta walau.
 
Back
Top Bottom