Uwanja wa maswali na majibu kwa wasichana na wavulana

Wanawake wananishangaza sana siku hizi.. Wananyoa nywele zote kwenye K... Yani panabaki pamekakamaa kama kifuu cha nazi.

Eti kwa nini!?

Asa si mpake mafuta walau.
Mkuu, kunyoa sehem za siri ni moja ya usafi na muhimu sana kuzinyoa. Na kuhusu kupaka mafuta, nivyema ukamshauri tu apake maana hiyo ni issue ndogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali kwa mkwepu jr wewe ni mkarimu hivyo kitaani??
Huyu jamaa ni aina ya wanaume wasio penda sana kuongea na hata kuandika au kutoa maoni kwake anaona kama usumbufu.
Ni aina ya wanaume ambao kudumu na mwanamke kwao ni ngumu kwasababu watu wa hivi huwa hawana uwezo wa kuvumilia maudhi wanawake.
Ila, ni mtu flani ambae you busy sana na anapenda sana kuingia jf kama sehem ya kupata burudani wakati wakusoma comments.

Ni mtazamo tu, don't take it seriously

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali kwa wote ,
Hivi mnaobandika matangazo ya kutafuta wachumba humu Jf huwa mnapata kweli?
 
Swali kwa wanawake,,
Kwa nini baada ya kugegedana baadhi ya wanawake wakinyanyuka hata kwenda bafuni wanapotembea hutoa sauti puu puu puu kama anajamba vile,nataka kujua hii inasababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom