Biblia ina majibu yote, tuisome kwa bidii

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Habarini!

Kwa kweli mara nyingi mno nimeshuhudia hili suala la Biblia kutoa majibu sahihi kwa 100% kwa maswali yangu.

Ukiwa na swali, uliza kwa Mungu kisha kimbilia kwenye Biblia yake usome, kwa imani jibu utalipata TU.

Usikimbilie kwa hawa mitume ambao wengi wana kashfa lukuki za utapeli, na kadhalika. Kuwa na tahadhari.

Mungu ameshajibu kila kitu kupitia maandiko yake matakatifu, pasipo kukosea hata kwa 1%.

Suala la kwa nini Wakristo masikini, Mungu ameshalijibia kwenye kitabu cha Malaki.

Suala la kwa nini watu wasioamini Mungu na watenda maovu, mafisadi nk wanafanikiwa sana kuliko watu wake, Mungu ameshalijibu kwenye kitabu cha Malaki.

Suala la miaka 2000 ya ukimya(giza) toka alipoondoka Yesu, Mungu alishalitabiri kupitia kitabu cha Amosi.

Suala la mnyama wa vichwa saba, pembe kumi, Mungu alilitabiri kabla na kupitia vitabu vya manabii wake ikiwemo Daniel na Yohana.

Hakuna CHOCHOTE Mungu anafanya pasipo KUWAJULISHA manabii WAKE kabla. HAKUNA.!

Suala la Yesu kutokuwa na muonekano wa kuvutia, alishalisema kupitia kitabu cha Isaya.

Suala la kwa nini alituumba ameshalijibu pia(Zab 150:6, Ezekieli 28) suala la uasi wa shetani na kwa nini alitupwa alishalijibu pia.

Kwa nini Yesu alisalitiwa, hili lilijibiwa pia kwenye kitabu cha Yer 50:24.

Suala la kwa nini Yesu aliongea kwa mifano Mungu alishalijibu kupitia kitabu cha Isaya, na cha Marko, pia kitabu cha Mathayo.

Hayo na majibu yetu binafsi mengine mengi zaidi, yapo HUMO. Tuache uvivu wa kusoma.

Wakati mwingine unaomba kumbe jibu tayari lipo katika Biblia. Unakuwa unajichosha mno.

Nyakati hizi ni za mwisho, shetani anajua amebaki na nafasi moja tu ya mwisho, na halali kabisa kwa ajili ya hili.

Wakristo tusimame kwenye maombi, udanganyifu umezidi. Maji ya bahari ni mengi kuliko ya mto.

Swali la wengi ni hili, "kwa nini mimi sifanikiwi?", jibu limeshajibiwa kwenye Malaki.

Aisee Biblia kweli ni kitabu kitakatifu KWELI KWELI, all answers are right there. Sometimes hata haja ya kuomba huna, kila kitu Mungu alishakijibu mule.
 
Asante
 
Amina Mtumishi, barikiwa!
 
Biblia ni kitabu cha kutunga. Hakina ukweli wowote.

Mungu wa kwenye Biblia ama Quran hayupo.

Achana na hizo ngonjera ziliandikwa na watu ambazo hazina ukweli wowote.
 
Yesu kristo alikua ana abudu na kusali Kwa kufuata taratibu za dini gani?
 
Biblia ni kitabu cha kutunga. Hakina ukweli wowote.

Mungu wa kwenye Biblia ama Quran hayupo.

Achana na hizo ngonjera ziliandikwa na watu ambazo hazina ukweli wowote.
Daudi alishawaza uwepo wa watu Kama wewe na akaandika kupitia Zaburi 14: 1 na 53:1
Nakubaliana na mleta mada kuwa kila tukio linalotokea ama sintofahamu yeyote, Biblia imeacha majibu.
Nafasi bado ipo, Yesu anakuhitaji Ndg.
 
Je! Biblia imeelezea mimba inavyotungwa!? Vipi kuhusu milima biblia imeielezea ina kazi gani kwenye ardhi, 'na kuhusu radi na sayari na mvua,
 
Back
Top Bottom