Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Ha ha ha ha ha ha ha labda wameleta ili ndege za kisasa za wenzetu zije kutua pindi wajapo kufundisha maaskari wetu.
Yaan aleny utaona,,,hawa jamaa sijui wanafikilia nini,unahangaika kujenga kiwanja cha billions of money badala yakutumia hizo PESA uongeze ajira uchumi ukue wewe unajenga uwanja,,,kwel kazi sana,
 
Yaan aleny utaona,,,hawa jamaa sijui wanafikilia nini,unahangaika kujenga kiwanja cha billions of money badala yakutumia hizo PESA uongeze ajira uchumi ukue wewe unajenga uwanja,,,kwel kazi sana,
Wewe ni punguwani
 
Yaan aleny utaona,,,hawa jamaa sijui wanafikilia nini,unahangaika kujenga kiwanja cha billions of money badala yakutumia hizo PESA uongeze ajira uchumi ukue wewe unajenga uwanja,,,kwel kazi sana,
Kila jambo lina umuhimu wake. Pia katika ngazi ya familia hata mkiwa na upungufu wa fedha kiasi gani.... tafrija mtafanya tu.
 
Hakuna mtu anayelibeza JWTZ isipokuwa palipo na ukweli basi tuuweke huo ukweli na pasipo na ukweli baso tuseme.

Kwa sasa tukisema kwamba tunavifaa vya kijeshi imara kujiringanisha na Misri, Libya, Algeria, Ethiopia, South Afrika n.k utakuwa ni uongo.

Tuwekeni ukweli ukae sehemu yake ili uongo ujitenge.
Ukiwa mtulivu na mdadisi utajifunza mengi tu,lkn elimu ya kwenda taifa kuangalia maonesho ya 9dec. na kukaa kwenye google utasubiri sana tuishio maporini tunaelewa vilivyopo na uwezo wake.
 
Uko sahihi Mjomba..
Hakuna Ndege wala meli yenye urefu huo dunia..
huo utakuwa ni urefu wa njia ya kuruka na kutua ndege (Runaway)..
Na kwa ndege za kisasa...
wala huitaji uwanja mrefu kwa ajili kuruka na kutua..
Huko Dunia ya kwanza ndege zao za kivita zote zinateknolojia ya VToL
(Vertical Takeoff Landing)
ndani ya kiwanja cha 20x 20
chombo inaweza unaruka na kutua....
Acha uongo wewe,si zote ni vertical take off/landing ni harrier pekee kwa upande wa west.Labda ungesema hiyo dunia ua kwanza wana ndege zinazohitaji runway fupi kupaa/kutua.
 
Nyie bishaneni naona hamuijui tz vzr nchi yetu ni wasiri sana ukitaka kuijua vzr waichokoze waone vitu adimu ambavyo vimefichwaga na ni vya kisasa zaidi
 
Both J-20 na J-31 mtengenezaji ni China. China sasa hivi inatisha kwenye uwanja huo. Ndio maana uwanja umejengwa na china kwa standard za Jeshi la china. Usiombe

ndo kwa bilioni 100 mkuu au ni pamoja na ndege
 
Ndege zpo za kutosha sema huwaga hatusemagi ukwl tunafichaga mambo ili wajinga wajipendekeze wakione cha mtemakuni
 
Kila jambo lina umuhimu wake. Pia katika ngazi ya familia hata mkiwa na upungufu wa fedha kiasi gani.... tafrija mtafanya tu.
Tatizo ni aina ya ukwasi tulionao, na tafrija tufanyazo, vitu viwili tofauti kabisa.
 
Wewe leta proof zako sio kukimbia kimbia tu. Naona propaganda za western zimekuingia sawa sawa. Nimekueleza battle ya Syria ya juzi tu. Naona unaleta nyimbo tu. Nikakueleza Iran wapo na SU-35 mpaka USA na member wake Israel wanagwaya. Iran anasema yeye hachokozi mtu lakini akichokozwa yupo tayari kujilinda. Sasa wewe unaongea tu. Leta hizo facts zako hapa.


Unajifanya kujua mambo mengi kumbe upo tupu kichwa.. ..
 
Wewe bando unanuka maziwa mdomoni. Kojoa ukalale watu wazima waongee. Wewe katoto ka miaka ya juzi juzi utajua nini wewe. Zaidi sana nitasema wewe ni mwehu au kichaa.
Bando= bado.
Punguza POVU
@hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
17 pages of utter nonsense!!!
Wengi wenu hamjui msemacho, unagoogle ndege na kubandika Tu hata ... Nimevumilia nikiangalia watu wakijidanganya lakini sasa inasikitisha, aibu tupu, sasa nyinyi ndo tunaexpect muende kwa forum zengine za kimataifa kutetea EA? Maskini tutachekwa sana
 
Back
Top Bottom