Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,874
Uwanja ni wa kisasa na wa kipekee kusini mwa Jangwa la Sahara.
Viwanja vya namna hiyo ni viwili tu vimejengwa China na hiki kimoja hapa Tanzania.

"Kinaurefu wa mita 3,000, Upana mita 45 unene wa Sentimita 45"



MICHUZI BLOG: RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO

RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO | KAMANDA WA MATUKIO

IMGS0226.JPG
ng6.JPG
ng12.JPG



NB: Watani zetu wakenya naona wanaendelea kukenua kenua meno.
Sasa Uwanja huu ndege matata za kivita mtaziona sio muda mrefu.
Vifaa kama hivi hapa chini nadhani vitapatikana hapa bongo

i9GGs.jpg


maxresdefault.jpg
 
Hapo wameeleza kabisa kwamba njia ya kuraka ndege ndio ina urefu wa 3000M

Wewe ndie umekosea kusema ndege yenye urefu wa 3000M
Uko sahihi Mjomba..
Hakuna Ndege wala meli yenye urefu huo dunia..
huo utakuwa ni urefu wa njia ya kuruka na kutua ndege (Runaway)..
Na kwa ndege za kisasa...
wala huitaji uwanja mrefu kwa ajili kuruka na kutua..
Huko Dunia ya kwanza ndege zao za kivita zote zinateknolojia ya VToL
(Vertical Takeoff Landing)
ndani ya kiwanja cha 20x 20
chombo inaweza unaruka na kutua....
 
Ndege ya 3000m? Halafu bado mnamsema "mh madereva" na "bashite" yake?
 
Back
Top Bottom