Uwanja wa Ali Hassan Tabora utafaa kuswaliwa Eid baada ya Fiesta?

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Habari wakuu?
Kuna mtu kaniuliza swali la kizushi. Juzi Fiesta imefanyika Tabora. Kama tujuavyo kunakuwepo na mambo mengi ikiwepo kunywa pombe wengine kufanya mapenzi siku hiyo.

Siku ya kesho uwanja huo huo utatumika kuswali swala ya Eid el Adha. Je ni sawa kufanya ibada eneo moja lililotumika kufanya starehe???!
 
Mkuu kuna vijana waliwai deki barabara kipindi cha kampeini nadhani wangetafutwa kufanya usafi hapo?.....
 
Back
Top Bottom