Uvumilivu unaelekea ukingoni

Mwite, mwambie nakuonya kwa mara mwisho

Akishupaza shingo

Adhabu zipo nyingi duniani mkuu, usitake nizitaje nionekane mimi ni katili
[emoji38] imebidi nicheke tu.
 
Wewe ulimuudhi Kwa kuwachafulia ofisi Kwa udokozi wako, hivyo ilimuuma na ulipaswa kukamatwa na kufukuzwa Kazi in short wewe ni mwizi unapaswa kufukuzwa, kwa nini ulimuibia mteja?
 
Ka


Kazi ilifutika kwenye computer na ni baada ya mteja kuitelekeza kwa mwaka mzima , na hata baada ya kutokea hilo nikajaribu kurecover imeshndikana sikua na jinsi zaid ya kurudisha hela .. naona jamaa akatumia kama njia ya kunichafua
Huyo ni shetani kapata nafasi ya kukushambulia. Usimpe nafasi. Mshtaki kwa bosi pia tumia vikao vya wafanyakazi kusema ukweli.

Kwenye vikao vya wafanyakazi ndio sehemu ya kutolea povu kwa wachawi wote wanaowangia wenzao makazini.

Usiogope mchane tu mbele ya watu, hatarudia tena!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Mtumie hizo clip halafu ukae kimya, kifupi ajue umeisha mjua ni snitch vinginevyo ataendelea kukusumbua.
 
Wewe ulimuudhi Kwa kuwachafulia ofisi Kwa udokozi wako, hivyo ilimuuma na ulipaswa kukamatwa na kufukuzwa Kazi in short wewe ni mwizi unapaswa kufukuzwa, kwa nini ulimuibia mteja?


Acha kuropoka usilolijua kama ww ni mwizi usidhani wengne ni wezi kama wewe
 
MoigeQUOTE="Isack Elia, post: 36277817, member: 374654"]
Hatua kama ipi mkuu
[/QUOTE]
Mpige,ndo cha kuuliza icho be a real man
 
Mwite, mwambie nakuonya kwa mara mwisho

Akishupaza shingo

Adhabu zipo nyingi duniani mkuu, usitake nizitaje nionekane mimi ni katili
Mkuu kwa niaba ya wajumbe naomba uainishe hata adhabu mbili konki blaza naomba kuwasilisha
 
Inakuwaje wanaotosheka na mishahara yao wanaitwa wavivu ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…