Hakuna Kupimaa huyoo Demu Ana MTU na wanadate vizurii tuuuBefore you cheat upime upendo wako kwake je unalingana na tamaa za mwili wako
Ulishawahi kusikia msemo “karma is a bitch” think twice before you cheat!! Kama umeshamilia kuvumilia na umeshindwa ushauri wangu tafuta hela mfate hata kwa wiki moja labda kama anasomea Iraq otherwise piga nyeto and don’t cheat ukifanya hivo just know penzi lenu linapotelea hewani. Kumbuka hamu ya kufanya mapenzi hata yeye anayo
Sio Rahisi Demu wangu kuwa na mtu mwingine kwa sasa hivi,japo katika mahusiano chochote kinawezekana kutokea,ananipenda na nakuniheshimu sana!.Hakuna Kupimaa huyoo Demu Ana MTU na wanadate vizurii tuuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Unahitaji Maombi ya Mfungo ndugu kuondoa ujinga ulinao juu ya Wanawakee...!! Unadhani huko anauwezo wa kuwakatalia wanaume wote wanaomtaka??? Afu wewe upo huku tz... Atachepuka kwa kigezo kuwa hata wewe huku unachepuka lazimaa..Kumbe jamaa upo unashangaa shangaa tu mjini hapaaSio Rahisi Demu wangu kuwa na mtu mwingine kwa sasa hivi,japo katika mahusiano chochote kinawezekana kutokea,ananipenda na nakuniheshimu sana!.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha 😂 ARE YOU SERIOUS?????????? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
Vipi mkuu,mbona kicheko kikubwa sana.ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] ARE YOU SERIOUS?????????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji251]
Asante!,kwa ushauri mkuu!Before you cheat upime upendo wako kwake je unalingana na tamaa za mwili wako
Ulishawahi kusikia msemo “karma is a bitch” think twice before you cheat!! Kama umeshamilia kuvumilia na umeshindwa ushauri wangu tafuta hela mfate hata kwa wiki moja labda kama anasomea Iraq otherwise piga nyeto and don’t cheat ukifanya hivo just know penzi lenu linapotelea hewani. Kumbuka hamu ya kufanya mapenzi hata yeye anayo
Acha hizo cute b,karibu tule good time!Aah wapi.
Watu mnapenda kukatisha tamaa!jidanganye tu ..wewe wakati una comment humu " mwenzio anavunja chaga huko
Siwezi kujiunga chaputa mkuu.Wewe ingia kwenye chama kubwa
Chaputa
Ili uendelee kumsubiri
Kwa kifupi unatafuta mwanamke wa kumpunguzia hizo nani zako.
Ila cha ajabu wapo utakaowapata maana wakati mwingine akili zetu huwa zina ganda.
Aisee.....asa unaishije mkuu....tafuta totoz mzee....Helloh jf!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana
nina Girlfriend wangu ninampenda
Sana,ila changamoto niliyinayo kwa
Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya nchi,
Kipindi anaondoka tulipeana ahadi kuwa atakapomaliza masoma tuje
Tufanye mpango wa kufunga ndoa.
Kusema kweli nimevumilia miaka yote miwili tangu alipoondoka sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote,nimefanya hivyo kwa sababu
Ya upendo wangu kwake,nashukuru
Tunawasiliana vizuri tu bila shida
Ilala sasa uvumilivu unaelekea kunishinda,Mihemko ya kusex imenikaba kweli kweli,najaribu kufanya mazoezi wapi,naji keep busy sana lakini wapi,Binafsi sitaki
Kabisa kumsaliti lakini hali naona inaelekea kunishinda,maana bado miaka miwili ili arudi Tz.
Sometimes napata vishawishi vya kwenda kununua mademu wanaojiuza nina uwezo wa kutoa hata laki per night lakini nahofia
Magonjwa,nina uwezo pia wa kutongoza demu mwingine lakini
Najua nitamdanganya tu halafu
Nitakuja. Kumuacha siku akirudi
My princess,sasa na mimi sipendi
Hali hiyo itokee najua nitamuachia
Maumivu ya moyo binti wa watu.
Sasa nimeamua kutafuta humu msichana ambaye yupo single
Ambae atakuwa tayari kwa mahusiano ya mda mfupi na mimi
Mpaka atakaporudi Girlfriend wangu
na awe tayari kwenda kupima afya.
Ani PM
Nawasilisha.
Miaka ya nyuma enzi za wazazi wetu walikuwa wanalipa mahari then unavuta mzigo ndani bila kubariki Wala kufunga ndoa kwanza. Na walikuwa wanaishi miaka mingi bila quarrels yoyote. Ila siku izi ukitaka kuoa sharti mfunge ndoa baada ya muda wanatengana kwa kisingizio tu tumeshindwana....wanagawana 50 kwa 50. Ndugu tatizo Nini Kwenye mahusiano ya siku izi???Ngono kabla ya ndoa ni dhambi na ni kinyume cha maadili. Nani alikuruhusu kungonoka na mtoto wa watu kabla ya kumlipia mahari na kupata baraka za kidini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,unamwamini hivyo binadamu?Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
Wakat demu huko mida hii anafanya mbuz kagoma kwenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,unamwamini hivyo binadamu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo papuchi itakua na maua sio bureNataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji251]
Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
Daaaah! Ukweli mtupu japo mchunguManina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.
Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:
Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.
Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.
Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.