Uvumi na uongo unao enezwa kuhusu Tibaijuka

Uvumi na uongo unao enezwa kuhusu Tibaijuka

..yaani nchi hii basi tu.

..kuna wa-Tanzania wanaishi maisha ya chini na taabu kuliko hata ya wakimbizi.

..halafu hapo ni mkoa wa Pwani, yaani pua na mdomo na Dsm makao makuu ya serikali.

..ni aibu kusema kuna serikali au chama tawala ktk nchi hii.

cc , NasDaz, Nguruvi3, Molemo
JokaKuu,
Sawa ni mkoa wa Pwani; je unafahamu ni mkoa wa Pwani sehemu gani? Mbona panaonekana kama mashambani? Kama ndio, what else did you expect especially nikizingatia mambo kama drip irrigation systems, cultivators, and the like si moja ya mambo ambayo unamaanisha umeshindwa kutoyaona na kuoneshwa kushangazwa kwako! Hiki wala hakionekani kama ni kijiji na kama ni kijiji basi ni vile vya muda ambavyo watu wanahamia msimu wa kilimo na ndio maana haishangazi kuona gari imekwama... probably ilikuwa ni msimu wa masika! JokaKuu, isije na wewe ukawa sawa na mdogo wangu mwenye miaka 20 lakini kabla hajaenda JKT mwakajana, alikuwa hafahamu shina la mpunga ukoje!!!!
 
Mwambie anunue Chopper aanchane na V8 kwani Fedha anazo nyingi na Tayari Nchemba amemsafisha kwa kumwambia alipe kodi kidogo kutoka kwenye mgawo wake ambayo baadae watamrejeshea kimya kimya...

Shamba la Bibi hili hakuna taabu ...

Wapendwa wana jf,kwa muda sasa toka mhe.rais amsimamishe kazi mhe. tibaijuka,kumekuwepo na uvumi na uongo mwingi unao tungwa na kusambazwa kwa kasi sana tokea siku mhe.raisi amwajibishe waziri huyo,sijajua msingi hasa wa watu hao kufanya ivyo ni nini,imefika mahali hadi picha zake za kipindi cha nyuma zinasambazwa kuelezea au kushawishi uongo huo,baadhi ya picha naziambatanisha hapa,ila binafsi nachukizwa sana na hizi siasac za kuendekeza kuchafuana sana,mimi sioni hasa faida yake nini na ni kwa lengo gani??

Tulisha msikia mhe. rais akisema kuhusu mama huo na nashindwa kuelewa kitu gani kinaendelea,hasa wanao fanya ivo wana lengo gani??

Watanzania tufike mahali tukatae uzushi na uzandiki huu wa watu wachahce,mimi naomba nieleze tu kidogo juu yya picha izi ambazo huyu mama alikua katika kutatua mgogoro wa ardhi huko pwani na wananchi ndio walizichukua,lakini nashangaa watu wanachukua baadhi ya vipande na kueneza uvumi wa uongo eti huyu mama ameanza kutembea peku kuomba kura jimboni kwake kipindi hiki cha kampeni kitu ambacho sio kweli,picha izi zilichukuliwa kabla hajaondoka madarakani na akiwa bado waziri ,na alikua katika ziara ya kutatua migogoro,katika njia hiyo gari la waziri lilikwamba katika tope kali na hata ukiangalia kwa makini katika pivha iyo moja ambayo inamwonesha akitembea peku,nyuma yake kuna gari likiwa limezama kwenye tope,gari hili kuzama halikumzuia mhe waziri kuendelea na ziara yake ambayo ilikua kuangalia mipaka na kutatua mgogoro husika kitu ambacho tukubali tukatae ni ngumu kukiona kwaviongozi wetu wengi hapa tz,na ukiangalia picha zinazo fata kabla unaona kabsa waziri na wananchi husika wakijaribu kusukuma gari la waziri kutoka katika tope hilo lakini ilikua ngumu.


Jamani mimi binafsi hata kama siko upande wa huyu mama ila kiukweli watanzania wenzangu tupunguze na tuache kueneza chuki ambazo hazina tija kwa taifa changa kama letu,ni hayo tu
 
Mama tibaijuka alikwama kwenye tope akikagua wahanga wa mafriko huko mabwepande jiji dar.Waziri wa ardhi atakaye tembea kwa miguu mtapata lini tena,ndio mana kikwete bado ana kigugumizi mpaka sasa kumteua mbadala wake
 
Hata mkitumia Jiki huyu Mama hasafishiki. Kigugumizi na makengeza ya nini Mama kakiuka maadili ya kazi ya umma huwezi kuingiziwa 1.6bn mtumishi wa serikali bila kuzi declare sehemu husika. Kama utetezi ni za shule zingeingizwa a/c ya shule acheni mapenzi ya kijinga.
Kafananisha na Askofu Kilaini ni upofu mwingine si mtumishi wa umma
 
Mkuu wewe unasema mkoa wa Pwani, nadhani ushaiona Dar ambayo ndio kioo cha nchi yetu inavyotisha kwa mafuriko kila mahali baada ya mvua kubwa za muda mfupi tu.

..yaani nchi hii basi tu.

..kuna wa-Tanzania wanaishi maisha ya chini na taabu kuliko hata ya wakimbizi.

..halafu hapo ni mkoa wa Pwani, yaani pua na mdomo na Dsm makao makuu ya serikali.

..ni aibu kusema kuna serikali au chama tawala ktk nchi hii.

cc , NasDaz, Nguruvi3, Molemo
 
Ungekuwa mshauri mzuri wakati ule ungemwambia Tibaijuka akae kimya asishindane na yanayosemwa ungekuwa umemsaidia sana na ungemuepusha na haya. Usifanye bidii kuzima moshi badala ya moto unaosababisha moshi

Kijana kwa akili na maono ya aina hii CCM wataendelea kutawala nchi hii kwasababu ningetarajia vijana mgekuwa mstari wa mbele kukataa utapeli wa Kikwete kumwajibisha mtu ambaye kosa lake ni kupokea mchango wa pesa bila kufuata sheria na utaratibu huku akiwaacha na kuwatetea wezi wa hizo pesa na walio hidhinisha na kupindisha sheria na taratibu pesa za umma zikaibiwa! Tatizo lako ni nini? Kabila la mama Tibaijuka,weledi wake na uchapa kazi au nini??!
 
Anna tibaijuka pumzika kwa amani na mungu akuongezee SKU ili iyafaid maisha ya XCRO.kla MTU atavuna alicho panda
 
Sasa hivi naona wengi tumejua ukweli uko wapi, kwani CCM wametumia ujanja wa kumtoa Anna Tibaijuka ilikuwa kutuziba macho Watanzania tuone wanawajibika, lakini Anna ameonewa sana na ninafikiri wametumia unyonge wa kijinsia (mwanamke).

Wanawake inabidi tusimame kwa nini maprofesa wengine hawajawajibishwa, au kwasababu wao ni wanaume?
 
Wote mnaomwonea huruma hicho kifisadi, naomba muende mkatubu haraka kabla milango ya toba kufungwa
 
huo mgogoro ulikuwa Wa wanandoa? maana naona kaandamana na wanawake tu. mletamada umetumwa. picha na unachotaka tuamini ni vitu viwili tofauti,kajiandae upya uje tena.
 
Mama Tibaijuka watajitahidi kumchafua lakin huyu mama hachafuki kamwe nimejaribu kutembelea shule zake nimegungua uweledi wake pale nilipokuta baadhi ya wanafunzi anawasomesha bure na sheria yake ni kwamba hafukuzi mwanafunzi yoyote anayekosa ada nikajiuliza anaendeshaje shule hizi? Hakika huyu mama hata sh. Bil.1.6 aliyopewa kwa ajili ya kuendeshea shule yake naweza kusema ni halali yake acha apewe isiwehoja sana anafanya makubwa ya zaidi ya sh bil 1.6 kwa ajili ya watoto wa watanzania masikin.pole sana mama mungu atakulipa.
 
Wapendwa wana jf,kwa muda sasa toka mhe.rais amsimamishe kazi mhe. tibaijuka,kumekuwepo na uvumi na uongo mwingi unao tungwa na kusambazwa kwa kasi sana tokea siku mhe.raisi amwajibishe waziri huyo,sijajua msingi hasa wa watu hao kufanya ivyo ni nini,imefika mahali hadi picha zake za kipindi cha nyuma zinasambazwa kuelezea au kushawishi uongo huo,baadhi ya picha naziambatanisha hapa,ila binafsi nachukizwa sana na hizi siasac za kuendekeza kuchafuana sana,mimi sioni hasa faida yake nini na ni kwa lengo gani??

Tulisha msikia mhe. rais akisema kuhusu mama huo na nashindwa kuelewa kitu gani kinaendelea,hasa wanao fanya ivo wana lengo gani??

Watanzania tufike mahali tukatae uzushi na uzandiki huu wa watu wachahce,mimi naomba nieleze tu kidogo juu yya picha izi ambazo huyu mama alikua katika kutatua mgogoro wa ardhi huko pwani na wananchi ndio walizichukua,lakini nashangaa watu wanachukua baadhi ya vipande na kueneza uvumi wa uongo eti huyu mama ameanza kutembea peku kuomba kura jimboni kwake kipindi hiki cha kampeni kitu ambacho sio kweli,picha izi zilichukuliwa kabla hajaondoka madarakani na akiwa bado waziri ,na alikua katika ziara ya kutatua migogoro,katika njia hiyo gari la waziri lilikwamba katika tope kali na hata ukiangalia kwa makini katika pivha iyo moja ambayo inamwonesha akitembea peku,nyuma yake kuna gari likiwa limezama kwenye tope,gari hili kuzama halikumzuia mhe waziri kuendelea na ziara yake ambayo ilikua kuangalia mipaka na kutatua mgogoro husika kitu ambacho tukubali tukatae ni ngumu kukiona kwaviongozi wetu wengi hapa tz,na ukiangalia picha zinazo fata kabla unaona kabsa waziri na wananchi husika wakijaribu kusukuma gari la waziri kutoka katika tope hilo lakini ilikua ngumu.


Jamani mimi binafsi hata kama siko upande wa huyu mama ila kiukweli watanzania wenzangu tupunguze na tuache kueneza chuki ambazo hazina tija kwa taifa changa kama letu,ni hayo tu

fisadi lazma achukiwe zaid ya nyoka,tena ilifaa anyongwe,shut up...! Mi mwenyewe nikipata habar mbaya ya huyu mshenz naiweka laivu,wametutesa sana mashetan hawa
 
Mama endelea na Nazi na nakupmbea daily urudi mjengoni make tunaujua ukweli mkwere ameamua kukujukumu ika God is best ...nakushauri mama anza na ujenzi was stand ya Muleba itakupa kura nyingi mama yetu,Mungu akutangulie
 
Jamani msishangae huyu mama kutolewa kafala na huyu jamaa, kumbuka enzi za lowasa nae alitolewa km huyu mama hvyo msishangae sana wadau hizi ndo tabia za wapiga pesa.
 
Swala la ESCROW mimi sijui undani wake kwa sababu limeanza toka 1994 enzi za NYERERE,
lakini katika swala la kutatua migogoro ya ardhi huyu mama kachemka sana amesababisha wakulima na wafugaji waendeleee kuuana kila siku
 
Back
Top Bottom