BLACK_
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 1,874
- 4,186
Ndio nijuze nipe link nisomeHuko huko magharibi wasomi wakubwa waliohusika kwenye maendeleo ya AI wanapinga mahali AI inapoelekea na wajuta hata kuhusu ushiriki wao AI kufika mpaka hapa AI ijayo sio hii inayoonekana wala kutumika sasa.
Unafahamu kuna AI arms race inaendelea sasa ?
Unafahamu kuna ai race kwenye biological weapons inaendelea sasa ?