Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,049
- 3,933
Wengi mnaongea sababu hamuelewi ila ungeelewa usingeongea ivyooWapo wanaofanya hivyo alafu wanajivunia pesa. .. Hata haya hawaoni. ... Ni uvivu wa malezi.. .
Wengi mnaongea sababu hamuelewi ila ungeelewa usingeongea ivyooWapo wanaofanya hivyo alafu wanajivunia pesa. .. Hata haya hawaoni. ... Ni uvivu wa malezi.. .
Hapo mushkeli ipo kwa wanaume...Wazazi wa leo hovyo kabisa, kama kunyonyesha tu wanakwepa ati maziwa yatalala unadhani wataweza kulea watoto hali hata wahenga walichemka kulea watoto japo walijikaza kisabuni huku wakija na msemo "kazi si kulea mimba, kazi kulea mwana".
Hawa wazazi wanaweza kufundisha vitoto vyao kukata viuno na kuvaa nusu uchi tu ndo maana ukipita mitaani vitoto vinashindana kukata mauno na kuvaa nusu uchi tu.
Cha kuelewa nini. ..? No excuse than UVIVU TU NA UZEMBE...Wengi mnaongea sababu hamuelewi ila ungeelewa usingeongea ivyoo
So far technologia imekuwa ikipandikiza tabia chafu kwa watoto.Teknolojia itawalea
Lala ukuwe bado hujaelewa maishaCha kuelewa nini. ..? No excuse than UVIVU TU NA UZEMBE...
Ata wanaolelewa majumbani na wazazi wao nawo teknolojia haiwezi kuwaachaSo far technologia imekuwa ikipandikiza tabia chafu kwa watoto.
Wanaolelewa atleast wanakuwa na misingi.Ata wanaolelewa majumbani na wazazi wao nawo teknolojia haiwezi kuwaacha
Safi mkuu 👏👏👏, ndivyo inavyopaswa kufanywa na mzazi makini.Mimi mwanangu nitamlea mwenywe nikiwa hai Inshaa Allah. . . Kule nilipokosea mimi sitokubali apite huko...
Nitasahihisha makosa yaliyofanyika kwangu kwa mwanangu...
Wengi mnaropoka sana Ila ukweli dunia inakimbia Kasi sana jamii ya sasa mwanamke na mwanamme wote wanafanya kazi za kuwaingizia vipato na sikuwa wanapenda Ila presha ya maisha imetuingiza umu mda WA kukaa na wenetu umekuwa finyu sana kitu kinachopelekea tukose mda wa kuwa karibu nawo mda mwingine ni rahisi sana kukosoa Ila Kwa uhalisia harakati za maisha zinaleta changamoto sana katika malezi mama anayefanya kazi ya kuajiriwa baada ya kujifungua anatakiwa anyonyeshe miezi mitatu kabla ya kurudi kazini mtu anafanya kazi kariakoo au posta anakaa mbezi kimara ivi anajigawaje na labda ukute ni single mother unataka iweje wangapi walikaa na wazazi na labda mama alikuwa nyumbani Tu lakin bado wakawa na tabia za hovyo kuliko wale waliopelekwa birding wakiwa wadogo

Lakini wakati wa kutafuta watoto mnao ila wa kulea huna. ..Wengi mnaropoka sana Ila ukweli dunia inakimbia Kasi sana jamii ya sasa mwanamke na mwanamme wote wanafanya kazi za kuwaingizia vipato na sikuwa wanapenda Ila presha ya maisha imetuingiza umu mda WA kukaa na wenetu umekuwa finyu sana kitu kinachopelekea tukose mda wa kuwa karibu nawo mda mwingine ni rahisi sana kukosoa Ila Kwa uhalisia harakati za maisha zinaleta changamoto sana katika malezi mama anayefanya kazi ya kuajiriwa baada ya kujifungua anatakiwa anyonyeshe miezi mitatu kabla ya kurudi kazini mtu anafanya kazi kariakoo au posta anakaa mbezi kimara ivi anajigawaje na labda ukute ni single mother unataka iweje wangapi walikaa na wazazi na labda mama alikuwa nyumbani Tu lakin bado wakawa na tabia za hovyo kuliko wale waliopelekwa birding wakiwa wadogo