Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,037
- 974
🤣🤣🤣🤣 na gesti Ikwiriri zimejaaa kazi moyaa tuUbishoo mtupu
Wauza sura tu hao chawa✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.
Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji kutokana na athari za Mafuriko yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.
Viongozi wa Umoja wa Vijana walioambatana na Mwenyekiti Komredi Kawaida ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Rehema Sombi Omary (MNEC), Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewasilisha Mahitaji ya Chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari.
Mafuriko ya namna hii yalitokea mwaka 1968,1972,1978,1998,2020 na mwaka 2024 Mafuriko yalianza 5 Machi ambapo yamesababisha Kaya 23670 kuathirika na mafuriko ya sasa na wahanga wa mafuriko Wamehifadhiwa katika makambi manne yaliyoandaliwa na Serikali na baadhi wameenda kwa ndugu jamaa na marafiki.
#TuwafarijiRufiji
#KaziIendelee
#KulindaNaKujengaUjamaa
Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
Na Vichaka vimejaa Mafuriko 😂😂🤣🤣🤣🤣 na gesti Ikwiriri zimejaaa kazi moyaa tu
Hawa wameenda LundoUbishoo mtupu
Bavicha wameenda mtu mbili tu Pambalu na Twaha Mwaipaya lakini Kazi waliyofanya ni kama Walikuwa 1000
Hapo ikwiriri posta shida sahv🤣🤣🤣🤣 na gesti Ikwiriri zimejaaa kazi moyaa tu
😂😂Na Vichaka vimejaa Mafuriko 😂😂
Naona masufuria ya wali yanapita hapa ...yaani ni mwendo wa matonge na makasiHapo ikwiriri posta shida sahv
Ova
Katibu mkuu amepatikana anabadilika kutokana na mazingira kama kinyonga sasa yupo kikatibu mkweli wa vijana kama chupikizi wa chama!✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.
Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji kutokana na athari za Mafuriko yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.
Viongozi wa Umoja wa Vijana walioambatana na Mwenyekiti Komredi Kawaida ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Rehema Sombi Omary (MNEC), Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewasilisha Mahitaji ya Chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari.
Mafuriko ya namna hii yalitokea mwaka 1968,1972,1978,1998,2020 na mwaka 2024 Mafuriko yalianza 5 Machi ambapo yamesababisha Kaya 23670 kuathirika na mafuriko ya sasa na wahanga wa mafuriko Wamehifadhiwa katika makambi manne yaliyoandaliwa na Serikali na baadhi wameenda kwa ndugu jamaa na marafiki.
#TuwafarijiRufiji
#KaziIendelee
#KulindaNaKujengaUjamaa
Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
MBONA KILOSA NA ARUSHA HAWAJAENDA KUPELEKA MISAADA?UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.

Wasababisha mafuriko wameenda kuona ukubwa wa athari za mafuriko waliyoyasababisha..!!✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.