UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

 
Mjomba,
hatufanyii kazi mambo ya ...'INasemekana'..go and do your HW!
 
Mi nafikiri statement aliyoitoa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mkuu wa Jeshi la Polisi Afande Sais Mwema ndo kauli rasmi ya serikali kuliko ya huyo bwana mdogo!! Yuko huru kuropoka chochote besides he is nothing in this country.
 

That's gossip!!! however, if it is true naweza kusema huo ni "ulevi" tunamtaka aseme sasa akiwa sober.Lingine hatuwezi kumshangaa maana "mtoto wa nyoka ni nyoka".
 
Du ulevi Bwana hasa ukikaa kwenye stool ndefu, ni story za vituko tusiziingize humu
 
Ah, kumbe maneno ya mlevi? Akijadiliwa huyo kijana atavimba kichwa, mpuzeni ni sawa na mtoto wa afande anayeendesha gofu anayedai gofu ni gari ya baba yake, au watoto wa vigogo wanaodai magari ya ST yanayowapeleka shule ni ya baba zao. Kusoma sio kuelimika.
 
Ukisikia fitna ndio hizi!, mambo ya kwenye vilabu vya pombe unataka kutuletea humu jukwaani?. Muhimu sio nani kasema nini na wapi, bali the motive behind itaonekana ni chuki binafsi ili kijana achukiwe na wapenda haki, hii ni fitna na majungu!.

Tutafika mahali jf itakuwa imestaarabika zaidi kiasi kwamba thread ambazo hazina kichwa wala miguu zaidi ya kujenga chuki kwa 'character assasinations' hazitavumiliwa!.
 

Watu wanataka habari za maana, wewe unaleta habari za Riz1 na klabu ya pombe, acha umbeya
 
we naona bado uko kilabuni... crap
 


Kumbe mlevi eeee!!!! Ndiyo maana babake anatawala nchi kilevi.
 
JF Administrators,

please remove this thread, is full of nonesense..
by the way, who is ridhiwan? its idiot to discuss the nonesense
 
That's gossip!!! however, if it is true naweza kusema huo ni "ulevi" tunamtaka aseme sasa akiwa sober.Lingine hatuwezi kumshangaa maana "mtoto wa nyoka ni nyoka".

hata kama angekuwa amesema popote, he is nothing kwenye nchi hii, nchii hii si ya familia
 

ya virabuni malizianani uko uko here we think.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…