UVCCM, UWT kwawaka moto!

UVCCM, UWT kwawaka moto!

Kawaida mtu akitaka kufa lazima arushe miguu ,cc.mabwepande kushnei..rip.
 
Mkuu TELLO uhusiano sio lazima uwe wa kikabila bt kama ni uchaga bas mama yake sango ni mchaga hapo utasemaje..
 
Kwa mujibu wa tafiti zinazoendelea kufanywa na SAD Afrika mpaka sasa hawa ndio baadhi ya wagombea wanaoongoza kwenye kura za awali za maoni...

UWT.........1.SOPHIA SIMBA..................36%
2.ANNA KILANGO.................28%
3.THERESA HUVIZA..............18.7%
4.OTHERS............................17.3%

UVCCM MWENYEKITI.
1.JAMALI............................41%
2.MWANA AMINA................39%
3.KOMBO...........................18%
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM.

1.SANGO KASERA...............38.6%
2.ANTONY MAVUNDE..........36.4%
3.PAUL MAKONDA................21%
4.OTHERS............................4%
kaka ahsante taarifa za magamba magumu zimefika jukwaani tumeziona
 
Kijana unashabikia Chama Kizee? Kikongwe kinachoelekea Kuzikwa ha ha haaaaaaaaaa
 
kwan huu ni mtandao wa cdm? Hii ni jukwaa huru kwa kila mtu mwenye chama na asiye na chama, ccm, cdm, cuf, tlp. n.k wote wanaruhusiwa. Cha msingi msivunje sheria. Tuache ushabiki usio na maana.

Una uhakika??
 
Back
Top Bottom