Huko Buhigwe/Kigoma hao CCM wanamjengea zengwe mkurugenzi wao wanasema kakiuka taratibu kwa kumleta mkandarasi mpya bila wao sijui vikao kushirikishwa.
CCM/UVCCM wanaweza kuja kukagua hata mkeo!!
Tumeipenda wenyewe ngiingii,
Chaguo letu wenyewe ngiingii,
Na wavimbe wapasuke ngiingii,
Watajijua wenyewe ngiingii,
Waacheni waisome nambaaaaa..........
Lala lala lala lala laaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
1....2....3.... Haya sauti ya tatu na ya nne ubeti wa tatu twendeeeeeee!!!!!!!
..............shukran zimuendee cpt john komba........
That was theory, now is practical and this is how we prove
Upigaji dili kwa jina la chama...Hapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036

Mkuu hapo wanaua nyoka au wanafanyaje?Hapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036
Nawaza tu: "NDIO MAANA HAWATAKI KUTOKA MADARAKANI WALA KUSEMWA KWA GHARAMA ZOZOTE"Wanatakatisha
Kuna huyu inZ wa kijani kwake kajenga Hicho kidaraja Fanyeni mkakizindueCCM tuna waimba taarabu ndiyo.
Ninyi chadema mmeshindwa hata kumtibu yule kijana anayejitolea kuwaimbia bure, hadi Membe wa CCM ameguswa kwenda kumjulia hali.
CCM ina kikosi cha kwaya, ila ninyi hamna waamasishaji, na hata wale wanaowasaidia bure hamuwajali, ila bado mnatarajia kushinda uchaguzi.
Hivi mnawaza nini?
Sawa wazee wa xpansenjointiJumuiya ya vijana wa CCM ina thousands of young intellectuals. Mainjinia wapo kibao. UVCCM ni tanuru la kupika viongozi wa baadae sio bavicha yenye vijana waliokaririshwa ubishi usio na maana. Eti ukiwa mbishi tu kwa kushupaza misuli ya shingo na mapovu mdomoni basi ndio sifa ya kuwa mpinzani. Shame on you guys.
Vp hilo daraja limegarimu bln ngpi ??Hivi bavicha ipo? Kama wapo hawataenda kukagua maana wanapinga ujenzi wa miundombinu
Vp hilo daraja limegarimu bln ngpi ??
Ova
Watu 5 tu kwa mkupuo hawapitiDaraja hata bajaj haiwezi kupita