UVCCM ndiyo wakaguzi wa miradi ya maendeleo?

UVCCM ndiyo wakaguzi wa miradi ya maendeleo?

Pumbavu mkubwa wewe
Jumuiya ya vijana wa CCM ina thousands of young intellectuals. Mainjinia wapo kibao. UVCCM ni tanuru la kupika viongozi wa baadae sio bavicha yenye vijana waliokaririshwa ubishi usio na maana. Eti ukiwa mbishi tu kwa kushupaza misuli ya shingo na mapovu mdomoni basi ndio sifa ya kuwa mpinzani. Shame on you guys.
 
Abarikiwe lubuuvaa
CCM tuna waimba taarabu ndiyo.

Ninyi chadema mmeshindwa hata kumtibu yule kijana anayejitolea kuwaimbia bure, hadi Membe wa CCM ameguswa kwenda kumjulia hali.

CCM ina kikosi cha kwaya, ila ninyi hamna waamasishaji, na hata wale wanaowasaidia bure hamuwajali, ila bado mnatarajia kushinda uchaguzi.

Hivi mnawaza nini?
 
Hapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036
Kamanda hiki ni chama tawala hata DJ ni mwanachama wake ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema ili kuleta nidhamu
 
Nakumbuka ulivyo ipata fresh pale mkwajuni karibu na mwambani hospitali
Kamanda hiki ni chama tawala hata DJ ni mwanachama wake ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema ili kuleta nidhamu
 
Siku hizi kuna tatizo kubwa la uelewa wa mifumo ya utendaji kuanzia serikalini hadi kwenye vyama vya siasa. Kwa bahati mbaya sana viongozi wa serikali wa kuteuliwa nao wanaonekana kupwaya kwenye nafasi zao.
 
Mkuu siyo kama wana pwaya bali wanajitahidi kwenda na instrumental za walio wateua
Siku hizi kuna tatizo kubwa la uelewa wa mifumo ya utendaji kuanzia serikalini hadi kwenye vyama vya siasa. Kwa bahati mbaya sana viongozi wa serikali wa kuteuliwa nao wanaonekana kupwaya kwenye nafasi zao.
 
Kuna sheria ya kukabidhi ulicho nacho pale getini kabla ya kukaribishwa ndani
Hii inasababishwa na nini mkuu? utakuta mtu ni PhD holder,lecturer pale kwa mlima na ana nondo kweli ila akishavaa za green daaah. akili zote zinapotea.
 
Hapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036
Uvccm ni wapumbavu cana wanafikir hii nchi ni yao mafara sana.
 
Hiki ni kivuko killichopo katika kata ya Lizaboni mjini Songea mkoani Ruvuma. Ujenzi wake umegharimu kiasi cha Sh. 7.8 milioni. Hapa ni wakati kikikaguliwa na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM ya Mkoa.

Toa maoni yako
FB_IMG_1561306544365.jpeg
 
Back
Top Bottom