Hahahhahahhaha haya ndio maendeleo etiiiiii??Hapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036
Wizi MtupuUkiangalia kitu kilicho jengwa kwa 7.8 million lazima upatwe na kigugumizi
Hapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036
Wasimamizi Wa IlaniKikundi hatari sana
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali ya Mkoa wa Ruvuma na jeshi la polisi , hawa wahuni wanazunguka kudanganya watu halafu wanaachwa tu , kuna huyo mwenye tumbo kubwa mithili ya mimba ya miezi 9 ndio kimbelembele waoHapa chini ni kivuko kilichopo kata ya lizaboni mjini songea kilicho ghalimu pesa sh 7.8 milioni za wavuja jasho kikikaguliwa na uvccm mkoa.
Sasa naona wataalam wetu wa ujenzi wakatafute kazi nyingine hasa kilimo maana uvccm wanaweza.View attachment 1136036
hawa vijana hata ukiwaangalia usoni hawaonyeshi kama ni wazima !Ukiwa ccm lazima akili ipotee