UVCCM ndiyo wakaguzi wa miradi ya maendeleo?

UVCCM ndiyo wakaguzi wa miradi ya maendeleo?

Wacha kuilinganisha BAVICHA na huo uozo wenu
Na mtazamo wako huwezi kuwa sheria.

UVCCM ipo kikatiba na kikanuni.

Uvccm imekidhi vigezo vyote vya kisheria na unafanya kazi zake kihalali kabisa.

Cha msingi, zindueni ile bavicha yenu maana imekufa.

Acheni kutuonea wivu wakati mna bavicha yenu!
 
Kwa maana yako kuwa chama tawala ndiyo mtupige kwenye miradi kama huo?
Mradi hata 1 million ingetosha tu lkn mnapitisha kwa 7.8 million mnadhani watanzania ni mambumbumbu?
Ndiyo maana UVCCM wamekagua ili wawawajibishe waliotupiga hapo
 
Hakika mkuu na zile nyimbo zao kuwa wanawatetea wanyonge hiyo ni kinyume
Wanawalaghai wananchi lengo lao ni kuiingiza nchi kwenye umasikini wa kutupwa ili waendelee kutafuna misaada.
 
Ndo wenye ilani ya chama ,,baba ikiwa watoto wana akili na hekima hata benk wanapeleka,,chama kinawamin vjana
 
Chama ndio kinasimamia Serikali. Sijui Elimu ya Uraia mliipata wapi??
 
Kumbe kiinglish unakijua mzalendo hebu nifundishe na mimi basi dah
Tumeipenda wenyewe ngiingii,
Chaguo letu wenyewe ngiingii,
Na wavimbe wapasuke ngiingii,
Watajijua wenyewe ngiingii,
Waacheni waisome nambaaaaa..........
Lala lala lala lala laaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

1....2....3.... Haya sauti ya tatu na ya nne ubeti wa tatu twendeeeeeee!!!!!!!

..............shukran zimuendee cpt john komba........

That was theory, now is practical and this is how we prove
 
Back
Top Bottom