UVCCM mnazidiwa ujanja na BAVICHA

UVCCM mnazidiwa ujanja na BAVICHA

...

....vijana wa maccm kwa hiii kazi wako juu !!!

1..............JPG
 
Vijana wa BAVICHA kwa bange na viroba hawana mpinzani kwa kweli
 
we mzee safari hii unatafuta kulogwa , aliyekuambia uvccm wapo kwa ajili ya mikutano ni nani ? Huyo nape bila kinana hawezi kufanya hata mkutano wa ndani , itakuwa sadifa ?
 
Vijana wa BAVICHA kwa bange na viroba hawana mpinzani kwa kweli
Laki si pesa Aka Khanga moko habari za kona bar!,nasikia siku hizi umehamia Dodoma baada ya bunge kuanza,kuna ukweli wowote?
 
Huyu mkuu vuta nkuvute inaonekana ni mtu mkubwa sana pale lumumba?.

uko sahihi , huyu ndiye mtu mwenye mamlaka ya kukupa au kukunyang'anya id ya chama , anaheshimika sana ! Id kama ya msalani , simiyu yetu , laki si pesa , lusungo , thatha na wale buku 7 fc ziko chini yake .
 
Chama chao huwa kinaamini kinashinda kwakuwanunulia pombe vijana waliokata tamaa yamaisha katka chaguz mbalimbali hvyo uvccm watakua na jipya gani ambalo wananchi watavutiwa kwenda kusikiliza.
 
uko sahihi , huyu ndiye mtu mwenye mamlaka ya kukupa au kukunyang'anya id ya chama , anaheshimika sana ! Id kama ya msalani , simiyu yetu , laki si pesa , lusungo , thatha na wale buku 7 fc ziko chini yake .

Na id yako iko chini ya nani?
 
Back
Top Bottom