UVCCM mnazidiwa ujanja na BAVICHA

UVCCM mnazidiwa ujanja na BAVICHA

UVCCM hapa Udsm kila ikitokea mdahalo wanalala mbele, kila tukiwaalika kujadili matatizo ya tz na afrika kwa ujumla hawaji, kuna siku niliwaomba vijana waje tulijadili azimio la arusha pale sr10 walijaa vijana wa chadema tupu ambao ndio haohao nakutana nao mikutano ya CHASO, Uvccm hawawezi kujenga hoja, wepesi wa fikra na vijana wasio na maono kabisa hawafai kuongoza taifa hili, bt hii ndio taswira ya ccm na wafuasi wake.
 
Wakuu katika nyanja za ubora wa hoja, umakini wa wanachama, mikakati ya ushindi na uimara was Sera Kati ya haya mabaraza ya vijana ya ccm na chadema. Ni baraza lipi linakubalika na vijana kwa Sana?

NB.
Matusi hayaruhusiwi.
 
Weka mfano mmoja uliopo kwenye utekelezaji inayowanufaisha vijana wa nchi hii wote wana chama na wasio wanachama wa mabaraza tajwa ili tupime efficieny na effectiveness ya taasisi hizo!!!

Kama hamna basi ujue wote ni ndege wachanga wanaosubiri kukua (kupata madaraka) wajaze matumbo yao. . . . mjaze matumbo yenu!!!!!
 
Acha kututoa kwenye mstari, habari ya mujini kwa sasa ni mabilioni ya ESCROW yaliyoibiwa na familia ya mfalme !!
 
Weka mfano mmoja uliopo kwenye utekelezaji inayowanufaisha vijana wa nchi hii wote wana chama na wasio wanachama wa mabaraza tajwa ili tupime efficieny na effectiveness ya taasisi hizo!!!

Kama hamna basi ujue wote ni ndege wachanga wanaosubiri kukua (kupata madaraka) wajaze matumbo yao. . . . mjaze matumbo yenu!!!!!

Mifano unatakiwa utoe we. Mm nimekutajia nyanja za kujikita coz mabaraza yote tunayafahamu na huwa wanata ktk jamii tunazoishi na kueneza Sera zao.

Kwa nini uulizwe swali na hapohapo na ww unauliza swali badala ya kujibu kwanza swali
 
Kama kungekuwa na Baraza la Vijana ambalo lisinge kuwa linaingiliana na siasa basi hilo lingekuwa bora zaidi.Lakini kwa sasa vijana wengi hasa wa CCM (UVCCM) wanatumiwa sana na wanasiasa ambao ni wanaCCM kufuata nini kiongozi anachosema na kutaka.

UVCCM 99% wamekuwa wakitumiwa zaidi na viongozi wa CCM kupenyeza siasa chafu miongoni mwa wagombea wengine,rushwa imekuwa ni kitu cha kawaida kabisa ili kupigiwa chapuo la kupata uongozi.

Na ukiangalia viongozi kutoka Baraza la vijana la CCM wengi wao ni watoto wa Viongozi/watawala waliopo kwenye nafasi mbali mbali na hawa wamekuwa na sauti kuliko UVCCM mwingine na hii inajanga uhasama kati yao na kuwafanya wawe na mawazo yao kama vijana.

Wamekuwa ni vijana (UVCCM) wasio wazalendo kabisa ,sababu ya rushwa na ukizingatia kuwa mwenye kisu ndiye mla nyama au?

Hivyo UVCCM hawana ubora kabisa na wala hawako HURU kwenye maamuzi yao hasa yanayohitajia kama TAIFA.Leo wako busy kuipigia chapuo Katiba ya Fisadi Chenge wakati wanaelewa nini kilichoma na Taifa kwa sasa halihitaji KATIBA ya aina ya Chenge,Taifa lilikuwa linahitaji KATIBA itakayoonyesha ni namna gani kiongozi aliyemadarakani anaweza kushtakiwa pale anapovunja sheria za nchi,kukiuka maadili,ubadhirifu wa mali za umma,rushwa na mengineyo.

Hivyo basi UVCCM wanasafari ndefu ya kujitoa hapo walipo ili chombo chao kiwe huru,kisichoingiliwa na wenye pesa zao.
Kujitahidi kuliona TAIFA kwanza na CHAMA chao baadaye.
 
Bavicha ipo huru sana ina watu waliopambana kikweli inao kina mnyika ambao sio wabunge wa viti vya sketin tofauti na uvccm walamba miguu ya wazee inayotegemea viti vya sketin kutoka uwt! Tofauti nyingine ili m uvccm atoke kwenda kuwania nafas kama ubunge wa jimbo ni lazma uwe kwenye mfumo kama ki monarch hivi ref.ritz,sioi,mgimwa,and the rest. Uvccm hawez kusimama mwenyewe hata jua litokee kigoma litue upande wa dar au tanga mtwara na lindi
Weka mfano mmoja uliopo kwenye utekelezaji inayowanufaisha vijana wa nchi hii wote wana chama na wasio wanachama wa mabaraza tajwa ili tupime efficieny na effectiveness ya taasisi hizo!!!

Kama hamna basi ujue wote ni ndege wachanga wanaosubiri kukua (kupata madaraka) wajaze matumbo yao. . . . mjaze matumbo yenu!!!!!
 
Kama kungekuwa na Baraza la Vijana ambalo lisinge kuwa linaingiliana na siasa basi hilo lingekuwa bora zaidi.Lakini kwa sasa vijana wengi hasa wa CCM (UVCCM) wanatumiwa sana na wanasiasa ambao ni wanaCCM kufuata nini kiongozi anachosema na kutaka.

UVCCM 99% wamekuwa wakitumiwa zaidi na viongozi wa CCM kupenyeza siasa chafu miongoni mwa wagombea wengine,rushwa imekuwa ni kitu cha kawaida kabisa ili kupigiwa chapuo la kupata uongozi.

Na ukiangalia viongozi kutoka Baraza la vijana la CCM wengi wao ni watoto wa Viongozi/watawala waliopo kwenye nafasi mbali mbali na hawa wamekuwa na sauti kuliko UVCCM mwingine na hii inajanga uhasama kati yao na kuwafanya wawe na mawazo yao kama vijana.

Wamekuwa ni vijana (UVCCM) wasio wazalendo kabisa ,sababu ya rushwa na ukizingatia kuwa mwenye kisu ndiye mla nyama au?

Hivyo UVCCM hawana ubora kabisa na wala hawako HURU kwenye maamuzi yao hasa yanayohitajia kama TAIFA.Leo wako busy kuipigia chapuo Katiba ya Fisadi Chenge wakati wanaelewa nini kilichoma na Taifa kwa sasa halihitaji KATIBA ya aina ya Chenge,Taifa lilikuwa linahitaji KATIBA itakayoonyesha ni namna gani kiongozi aliyemadarakani anaweza kushtakiwa pale anapovunja sheria za nchi,kukiuka maadili,ubadhirifu wa mali za umma,rushwa na mengineyo.

Hivyo basi UVCCM wanasafari ndefu ya kujitoa hapo walipo ili chombo chao kiwe huru,kisichoingiliwa na wenye pesa zao.
Kujitahidi kuliona TAIFA kwanza na CHAMA chao baadaye.

Well said mkuu

Kula tank
✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊
 
Sasa Ndugu Yangu kwa akili zak ndogo tu hivi uvccm inauwezo wa kupambana na BAVCHA
 
Jamani mbona mnataka kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu uvccm
 
Jamani mbona mnataka kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu uvccm

Kula tano mkuu
✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋
 
Kwanza,nyinyi mnasemwa kama vijana mnaotumika na makundi ya Urais 2015. Hivyo,nyinyi UVCCM,si wamoja. BAVICHA hawana makundi na wamebaki wamoja.

Tena,BAVICHA inathubutu hata kufanya mikutano ya hadhara kupitia viongozi wao. Wanahutubu na kusikilizwa. UVCCM mko nyuma. Mnaogopa au kukosa kitu gani. Semeni msaidiwe. Shirikini mikutano na midahalo.

Mabaraza ya Vijana vyamani ni chemchem ya kuzalisha viongozi waliopikwa wakapikika. Si mahali pa kukaa ofisini bila tija. Kukaa bila ya kufanya kazi inayostahili.

Binafsi,sijaiona tena UVCCM ya Nchimbi. Ilikuwa moto. Hii imepoa na inazidiwa ujanja na BAVICHA. Thubutuni kuhutubia na kutangaza sera za chama chetu kwa vijana. Isifikie wasemaji wa vijana nchini wawe BAVICHA.

Punguzeni au muache kabisa woga na utegemezi. BAVICHA wanawazidi ujanja. Msikubali.

Uvccm ya makonda iko bize kutukana wazee. Kuwaundia njama za kuwapiga na kula njama za kuteka watu. Mwenyekiti sadifa kazeeka mpaka shingo imegoma kupinda, katibu wake mapunda ni zigo linalosubiri pesa za mafisadi wagombea urais, vijana wa uvccm waliobaki ni watoto wa vigogo ambao muda mwingi wako nje wanakula bata. Hawa wezi wa simu,watekaji, wapigaji wa wastaafu watazungumza nini mbele ya vijana wenye akili?
 
Vijana wa BAVICHA kwa bange na viroba hawana mpinzani kwa kweli
Kiroba ni kinywaji tena ni murua haswa ukiichanganya na amarula. Ndio kinywaji changu.

Bangi ni stimulate, nikienda beach huwa navuta sana tu bangi.

Hakuna tatizo.

UVCCM tokeni mdanye mkutano wa hadhara hata hapo Lumumba tuwaone mnaongelea nini.

Kutwa kujivungine na matenzi tume yenu
 
Back
Top Bottom