Umoja wa vijana wa CCM jordan wao ktk mkutano wa chama Usambara Lodge
wakiwa ktk kikao hicho watajadili mambo mbali mbali ya kukijenga chama kujipanga katika kuongeza idadikubwa zaidi ya wanachama maana ni tawi ambalo linaongoza kwa idadi kubwa ya wanachama hapa moro
hakika CCM imeamua na itaendelea kutawala milele
CCM oyeeeeeeeeee