UVCCM Jordaan University katika kikao Usambara

Kumbe Jordan kuna wajingsa kliasi hiki?Lakini hii ni njaa tu Abood anawatupia vijisenti.Hata wafanye je CHADEMA vyuoni ni balaa.
 
Wakuu mi hiki chuo sijawahi kukickia toka kuzaliwa kwangu, ndo kwanza nimekickia leo! Au ndio vile vya chuo kipo gorofa ya tatu mkabala na.............? Kama ndo hao wacha wajiunge tu magambani.
 
Go Ahead with mobilizing people to go on with their patriotic heart to makesure we rescue our country from a danger of being ruled by people from northern zone, people with religionalism and tribalism mentality,thief and others danger mission to our country.
 
Mmepata venue ya bure kwenye hiyo lodge ya Makamba?
 
Go Ahead with mobilizing people to go on with their patriotic heart to makesure we rescue our country from a danger of being ruled by people from northern zone, people with religionalism and tribalism mentality,thief and others danger mission to our country.

Uliyeandika hiki kiingereza ni mwanafunzi wa chuo? Maana hata mwanangu wa std five asingeandika ung'eng'e mbovu kiasi hiki..
 
Vijana endeleeni msiogope Watanzania wengi wanapenda AMANI,UMOJA na UTULIVU. Hawawezi kujiunga na ugaidi. Big up vijana. Katika Agenda zenu mkumbuke kujadili mbinu za kupambana na Ugaidi hapa Tz.

AMANI, UMOJA NA UTULIVU. Unajua maana ya hayo maneno kijana. Ufisadi wa sisiem na serikali yake ndo unaleta amani na umoja? Kitu tanzania tulicho nacho ni utulivu tu. Period
 
Go Ahead with mobilizing people to go on with their patriotic heart to makesure we rescue our country from a danger of being ruled by people from northern zone, people with religionalism and tribalism mentality,thief and others danger mission to our country.

Education for liberation.
 
Back
Top Bottom