Sasa kama ni style why a debate ya nani kavaa ipasavyo!!!!Kipo lakini hutakiwi kukufunga
ndio syle ya uvaaji.
angalia basi hizo picha vizuri utaona nani kakosea na nani kapatia
dah!!ntavalia wapi mkushi mimi maana sina sehemu ya kuendea kanisani siendi,mikutano yangu ya kiman man tu tshirt na jinsiMaraster mkivaa suti huwa inawatoa sana.
jaribu uone...
Hilo tabasamu la tendwa ni kama la mamba
hapo anangoja shukrani ya kupewa ubalozi au ukuu wa wilaya..
ivi ushauzuria arusi za maraster...tuache kuvya batiki au cultural tuvyae masuti ntatengwahata kwenye harusi na makongamano yenye maslahi pia
Oneni wenyewe .
kati ya hawa nani kavaa suti kadiri inavostahili?
Angalieni namna ya ufungaji wa vifungo.
Nijuavo kishikizo cha chini hakifungwi
Ila mkulu hicho kitu kimemtoa balaa!