Natumai u mzima mwana jf, nafikili leo ni Mara ya pili kwangu kuona na natumai pia c mimi tu niliyeshuhudia hili Bali wapo wengine pia. Nakumbuka mh. Joyce ndalichako alizuia uvaaji horela WA majoho, na kuagiza vazi Hilo kuvaliwa na wahitimu kuanzia ngaz ya degree tu. Kuna siku, Lakin leo pia nimeona madiwani kutoka Kasulu pamoja na mkurugenzi, katka kikao cha halimashaur husika wamevaa vazi hiyo lenye heshima kubwa.
Maswali
(1) Kwa nn wanavaa vazi hili kwenye kikao ? Nini maana Yao ?
(2) utaratibu huu umeanza lini ?
(3) mheshimiwa vp suala hili ww hulion ama ?
Naomba kuwasilisha.
Maswali
(1) Kwa nn wanavaa vazi hili kwenye kikao ? Nini maana Yao ?
(2) utaratibu huu umeanza lini ?
(3) mheshimiwa vp suala hili ww hulion ama ?
Naomba kuwasilisha.