Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Huu mtindo ulianza like six years back wa kinadada na wamama kuvaa vimini kwenye misiba!
Inasikitisha na kuhuzunisha sana!
Sio kila jambo la wadhungu la kuigwa jamani uwiii!
TUBADILIKE WALAHI!
Si ndio tumebadilika mkuu. Kwani zamani ilikuwa hivi?
 
Jitihada zote hizo kuna MTU mmoja tu anayewindwa naye anaitwa mwanamume!! Siku hizi mwanamume anawindwa kama swala!! Ndiyo maana viumbe hawa walinyimwa nguvu, vinginevyo tungebakwa sana!! Kuvaa nguo zisizositiri ni mbinu ya ubakaji pasipo kutumia nguvu na wengi sana wamebakwa kwa staili hiyo!!!
 
watu wamezidi kuiga ujinga kwani lazima kuiga kila kitu??? unajiremba na kuvaa vibay ili iweje?? kweli.unauchungu na marehemu utakumbuka kupaka wanja au kukumbuka kununua nguo za kuvaa ili utokelezee kweliii!!!
 
Kuna vitu inafaa vipate wigo mpana wa kujadiliwa kitaifa.
Suala la mavazi ingawa ni jambo binafsi lakini ni vema likajadiliwa kitaifa ili tuje na dress codes mbalimbali zenye sura ya utu.
 
Wengine wanapata time ya kwenda salon na kupiga make up za kutosha!ukikuta wamebandika na makope kama majini!hii tabia wanapenda sana bongo movie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom