Uv_ccm arusha kwazidi kuwaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uv_ccm arusha kwazidi kuwaka moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, May 25, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanajamii forum leo katika taarifa ya habari ya itv umoja wa chama cha magamba(ccm)baadhi yao wanaaojita viongozi wa kata za Arusha mjini na wajumbe wa wilaya wamefanya mkutano na kutangaza hawamtambui mwenyekiti wao na mwenyekiti wamkoa maana ni mawakala wa mafisadi na kuwataka lowasa,rostam namzee wa visenti chenge kuondolewa kwenye chama maana ni mafisadi.
   
 2. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nabado mengine yakuja, hadi kufikia mwisho wa mwaka huu magamba na nyama yote itatoka na kubaki mifupa tu so sijui kama kutakuwa na uhai pale. Chama Cha Magamba bye bye :A S 103:
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  kikundi cha wahuni wa pale kaloleni, tamko lao halina hata muhuri wa ofisi, yani kwa kifupi ni CCM-CHITANDA
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wakifanya maandamano tutawasaidie kumgoa Chatanda..
   
 5. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mary Chatanda simpendi kabisa simpendi huyu mama...alisababisha mauji ya makamanda wetu wa chadema
   
 6. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wahuni wa mtaa wa bondeni wale !
   
Loading...