Uuzaji na unywaji ''viroba'' marufuku Arusha

Uuzaji na unywaji ''viroba'' marufuku Arusha

Hii itasaidia kuokoa kizazi cha Kazi cha vijana. Najua bado watakunywa ila itakuwa kwa kujificha ficha angalau spidi itapungua. Ile kitu ni gongo live kabisa
jamaa mwenye kiwanda ametengeneza ghorofa za kutosha hapa mjini ikiwamo MEGA complex na hiyo wanasema ni kama banda la mbwa! Kodi kodi kodi kodi
 
....kwahiyo ulitaka wapewe chachandu na malapu lapu ili wa-enjoy vizuri !?, kitu kilichopigwa marufuku kinazidi vipi wakati viwanda vinajulikana ?
Hii biashara ya kijinga imevuruga mpaka channel ya distribution, Wauza jumla badala kuweka stock ya unga na bidhaa za maana wao wanajaza makatoni ya viroba .... ujinga kabisaa
Fanya utafiti kwanza.Dawa za kulevya na ukahaba zote zimepigwa marufuku ila ndio kwanza zinapamba moto.Nachozungumzia hapa ni kuelimisha watu na mamlaka husika kusimamia unywaji wa kilevi hiki ila kinywewe katika hali ya usalama.Maamuzi ya mwisho yawe ya mtu mwenyewe ila sheria zikataze mtu kuendesha gari au kufanya kazi huku amelewa.Ukifanya utafiti wa matokea ya kupiga "ban" unywaji pombe na starehe zingine katika nchi zingine utanielewa.
 
Asubiri tumalizie stock iliyoko mtaani then tutamjulisha.
 
Kwani kiroba kina shida gani,mbona kinywaji hichohicho kikiwa kwenye chupa hao hao wakubwa wakinywa?Acheni hizo bana!
Na kila mtu akupe like kwa hii post yako. Yaani ieleweke tatizo ni ufungaji wa hicho kinywaji au ni contents? Maana zingine hufungwa kwenye chupa but the same contents.
 
Naona mikoa imeshakuwa kama majimbo, sheria zinaapply eneo fulani tu la nchi. Juzi juzi hapa kuna mkuu wa wilaya alifuta likizo zote za watumishi wa umma ndani ya wilaya yake, sijui ujasiri huo unatoka wapi
 
Awamu hii tutasikia mengi. Hivi kati ya KIROBA na SIGARA ni kipi chenye madhara zaidi kiafya?
 
Mkuu wa mkoa kavurugwa viroba ni biashara halali na kodi wanalipa aache kukurupuka kwanin aspige marufuku whisky
Nyie mnasema tuu, mie kaka zangu na vijana wote mtaani kwangu wamekuwa mateja, viroba kuanzia asubuhi mpaka wanaenda kulala. Ulitaka kumnunulia mtu chakula anathamanisha na viroba ngapi angepata kwa hiyo hela, ukisalimia jibu Ni embu tuachie kiroba basiii brooo
 
Kama no kweli atakuwa amejitafutia mzozo na wamiliki wa viwanda ambao no walipa kodi, ikumbukwe kuwa viroba vina nembo ya tbs na TRA.
 
Hapo tunaanza kujua Majukum ya Mkuu wa Mkoa na Meya wa Jiji la Arusha.
Labda Meya atawaruhusu.Acha tusubirie
 
Nyie mnasema tuu, mie kaka zangu na vijana wote mtaani kwangu wamekuwa mateja, viroba kuanzia asubuhi mpaka wanaenda kulala. Ulitaka kumnunulia mtu chakula anathamanisha na viroba ngapi angepata kwa hiyo hela, ukisalimia jibu Ni embu tuachie kiroba basiii brooo

Ero upo sasa dawa unajua nini? Viwanda vya viroba vifungwe na serikali ikatttae kodi? Najua viroba na piwa ya pale mianzini ni kero all the time vijana wamelewaaa
 
Ero upo sasa dawa unajua nini? Viwanda vya viroba vifungwe na serikali ikatttae kodi? Najua viroba na piwa ya pale mianzini ni kero all the time vijana wamelewaaa
Kodi zenyewe si ndio hizo wanakwepa
 
Kodi zenyewe si ndio hizo wanakwepa
Kamma wanakwepa kodi ni kazi ya serikali haise sio mtu mwingine aise nyway ngoja nimalizie kitimoto yangu nq beer hapa osaki sanawari
Usiku mwema mkuu
 
Fanya utafiti kwanza.Dawa za kulevya na ukahaba zote zimepigwa marufuku ila ndio kwanza zinapamba moto.Nachozungumzia hapa ni kuelimisha watu na mamlaka husika kusimamia unywaji wa kilevi hiki ila kinywewe katika hali ya usalama.Maamuzi ya mwisho yawe ya mtu mwenyewe ila sheria zikataze mtu kuendesha gari au kufanya kazi huku amelewa.Ukifanya utafiti wa matokea ya kupiga "ban" unywaji pombe na starehe zingine katika nchi zingine utanielewa.
....dawa za kulevya hazijawahi kupamba moto, wala ukahaba. ungepamba moto wakati ukimkuta mwanao kahaba.marufuku ndio inayosaidia
 
....dawa za kulevya hazijawahi kupamba moto, wala ukahaba. ungepamba moto wakati ukimkuta mwanao kahaba.marufuku ndio inayosaidia
Upo sahihi.Katika ngazi ya kifamilia "marufuku" inasaidia.Lakini katika ngazi nchi au mkoa "marufuku" imeonyesha kutokuwa na matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom