Uuzaji na unywaji ''viroba'' marufuku Arusha

Uuzaji na unywaji ''viroba'' marufuku Arusha

Kwani serikali haichukui kodi kutoka kwenye hivyo "viroba"? Waanze kwa kufunga viwanda vya "viroba" kwanza!

Kuna tatizo kwenye hii serikali. Watu wanaendesha nchi kwa mizuka tu na sio kufuata taratibu za nchi. Nawaona wanavyoshindana tu kutoa matamko kwa mizuka tu. Eti mkuu wa mkoa anapiga marufuku pombe ambayo TRA imekusanya kodi ikairuhusu.

Ova
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya kiroba na konyagi ya chupa au kwasababu konyagi inaifadhiwa kwenye chupa na kiroba kinaifadhiwa kwenye plastic ila zote si pombe kali au.
 
Sasa ndio watu watatajirika kwa biashara ya viroba... Maana vitauzwa kwenye black market na vitauzwa at premium price.
Watu wameshindwa kuzuia upatikanaji wa gongo haramu sembuse viroba? Ila all in all hivi viroba vimewaharibu watu wengi sana. I hope bia ya 'UKAWA' ndio itakuwa substitute...
 
Back
Top Bottom