Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

Kunywa enegry + tramadol 2 hrs before sex utakuja nishukuru
Ila huku ukiendelea kufanya mazoez na kuboresha mlo wako ili upate suluhu ya kudumu
Haa
Dawa Zote Atakunywa Huyu Mwamba Msaada Umetolewa
 
Namba 1 ndio wife huwa analalamika tukiwa ktk kujadili sex.2 kunishauri huwa ananambia tu punguza mawazo l
3 nshaenda MUhimbili,aga khan,tumaini kote walisema sina shida labda ntakua natatizwa na mawazo ykishimdwa ktk sex kuwa sjui itatokea kama jana au laaa madaktar wote wakasema nirelax nione nijambo lakawaida sio issue hiyo itanipelekea hali yakujiamini nakuweza kufanya hadi nimridhishe mwenza wangu lakini ushauri wa madaktar wote hao naufuata ila hali naona iko vile vile


Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa Kufuata Njia Nyingine
 
Anza kufanya mazoezi, especially squats, lunges , kutumia leg press itakusaidia sana.
Pia jitahidi kuondoa hofu na ongeza kujiamini.
Kama ni mlaji wa vyakula vya kukaanga au vyakula vilivyo na sukari sana jitahidi kupunguza
 
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla ya kuoa nilikuwa kila nikikutana na mwanamke dakika 3 nakojoa na siwezi kurudia tena raundi nyingne hali iliendelea hivyo mpaka nikaoa, maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaani uume unalala wakati wa maandalizi na unasimama legelege pia hata nikifanikiwa kuingiza ukeni nitafanya dakika 4 nakojoa na siwezi kurudia tena au wakati mwingine uume ukiwa ukeni nafanya dakika 2 unalala, tatizo hili limekuwa linafanya namuacha mke wamgu njiani na nitatizo linanitesa sana.

Wakuu nahitaji msaada wenu nipone na kuweza kumridhisha hamu zake mke wangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu hii
FB_IMG_1654068420090.jpg
 
Back
Top Bottom