Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

Tatizo liko hapo kwenye mazoezi.
Jenga pumzi, anza mazoezi ya kukimbia leo, baada wiki mbili utaanza kuona tofauti. Baada hapo utaanza kupunguza uoga kwani utaona mashine inakupa matokeo ya mazoezi.

Mazoezi yatakusaidia kujilinda na magonjwa ya moyo na kisukari ambayo yanachangia sana kwenye kupunguza nguvu za kiume.
 
Kama huna kisukari au cancer

Zingatia haya.

1. Usiwaze sana kuhusu kusimamisha.. Jiamini fanya mazoezi na kula vizuri.

2. Hakikisha una kunywa maji mengi kuongeza hydration ya mwili.

3. Nenda hospitali wapime mfumo wa mzinguko wa damu. Kusimamisha kuna uhusiano mkubwa nasa na mzunguko wa damu.

4. Jifunze art ya kufanya mapenzi, inaonekana ni mtu wa kutoa sime na kuchomeka. Fanya bwebwe kama 30 hata ukimaliza ndani ya dk 3 huyo mkeo atakua hoi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu ni binti amekushauri zingatia sasa!kwani wanakautafiti flani,au muulize maswali kadhaa yeye anajua tu,we muulize

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Mkuu atasafishaje hiyo mishipa ya damu?Na kama kuna Dawa ya kusafisha unayoijua ,tuwekee hapa mkuu

mwongo atofautiani Na mchawi
Unachosafisha ni matufa mkuu, mafuta yanavyokua mengi mwilini yana ziba mishipa ya damu. Hii inasababisha magonjwa ya moyo na pia stroke.

Unapofanya mazoezi unayayusha mafuta mwilini inasaidia kuzuia mafuta yasibaki mwilini na hii inapunguza mafuta kujaa kwenye mishipa ya damu hili mzunguko wa damu uwe mzuri. Kumbuka damu inabeba oxygen mwilini, kwahio mzunguko wa oxygen unakuwa mzuri kwenye viungo vyote vya mwili.

Unapopunguza kula vyakula vyenye mafuta inasaidia kupunguza mafuta kukaa mwilini pia.

Nimekujibu juu kwa juu nadhani itakuwa imekusaidia kuelew kidogo.
 
Mkuu pole kwa hali ngumu unayopitia. Kiukweli inahitaji mwanamke mtulivu na muelewa. Naamini shemeji anaelewa.

Mkuu nimewahi kuona ushauri wa kutumia matunda kwa wingi hasa matikiti maji, ndizi, n.k. Mazoezi ni muhimu sana kwenye maisha yako, pia maji ni muhimu, kama una kitambi pia punguza kwa kifupi uzito uliopitiliza.

Wakati upo kwenye tendo lenyewe jiamini kuwa uko vizur. Mawazo ya "Leo inaweza kuwa kama jana" yaondoe akilini kabisa. Futa wasiwasi uongeze kujiamini. Muandae mkeo mda mrefu usivamie papuchi wala kuipania. Epuka sana madawa yanayopromiss kukuongezea nguvu kwa sasa maana yanaweza kukuletea madhara makubwa zaidi.

Siku mpya inakuja nguvu mpya na mawazo mapya
 
Tafuta dawa inaitwa Metformin! Meza kidonge kimoja cha 500mg two hours kabla ya 'pambano'!
Mkuu utanisamehe kwa maoni haya, ulichofanya hapa ni kitu hatari sana.
Hizi ni dawa za tatizo la sukari, sidhani kama ni OTC (Over the counter medicine), hizi ni lazima uandikiwe na daktari baada ya vipimo.

Unaweza kuuwa mtu.
Mkuu mleta mada ndugu malembeka18 kuwa makini usitumie dawa kienyeji bila kumuona daktari au angalau kuzifuatilia mitandaoni kule wanakotoa maelezo na tahadhari ya dawa mbalimbali.
 
Tatizo lako dogo sana...

1.Anza kufanya mazoezi mara moja, kimbia robo saa kuongeza pumzi, squat 20 mara 5 kukaza nyama za tako na kiuno, push up kwa stamina ya mikono.

2.Asubuhi anza kwa kunywa glasi moja ya maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na limao, chai yako iwe tangawizi iliyochanganywa kitunguu swaumu na asali, mchana kula ugali wa muhogo uliyochanganywa mtama au ugali wa dona, Mboga za majani za kutosha pamoja na protini kama vile nyama, samaki au dagaa...
Jioni tena pata chai yako ya tangawizi iliyochanganywa na kitunguu swaumu,

3.mwisho jiamini kama madaktari wanasema huna tatizo, basi jua tatizo umelitengeneza mwenyewe kwenye ubongo wako..!

Fanya hayo ndani ya mwezi bila kushiriki tendo utaona matokeo makubwa sana...! Ukiwezekana kupindi hicho cha tiba wewe na mkeo kila mtu awe analala chumba chake...

Baada ya kupona hiyo routine inapaswa kuwa sehemu ya maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utanisamehe kwa maoni haya, ulichofanya hapa ni kitu hatari sana.
Hizi ni dawa za tatizo la sukari, sidhani kama ni OTC (Over the counter medicine), hizi ni lazima uandikiwe na daktari baada ya vipimo.

Unaweza kuuwa mtu.
Mkuu mleta mada ndugu malembeka18 kuwa makini usitumie dawa kienyeji bila kumuona daktari au angalau kuzifuatilia mitandaoni kule wanakotoa maelezo na tahadhari ya dawa mbalimbali.

Asante mkuu, manske nimemwambia bado anamlazimisha mwenzake atumie hii dawa.
 
Kwanini unamawazo?
Namba 1 ndio wife huwa analalamika tukiwa ktk kujadili sex.2 kunishauri huwa ananambia tu punguza mawazo l
3 nshaenda MUhimbili,aga khan,tumaini kote walisema sina shida labda ntakua natatizwa na mawazo ykishimdwa ktk sex kuwa sjui itatokea kama jana au laaa madaktar wote wakasema nirelax nione nijambo lakawaida sio issue hiyo itanipelekea hali yakujiamini nakuweza kufanya hadi nimridhishe mwenza wangu lakini ushauri wa madaktar wote hao naufuata ila hali naona iko vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utanisamehe kwa maoni haya, ulichofanya hapa ni kitu hatari sana.
Hizi ni dawa za tatizo la sukari, sidhani kama ni OTC (Over the counter medicine), hizi ni lazima uandikiwe na daktari baada ya vipimo.

Unaweza kuuwa mtu.
Mkuu mleta mada ndugu malembeka18 kuwa makini usitumie dawa kienyeji bila kumuona daktari au angalau kuzifuatilia mitandaoni kule wanakotoa maelezo na tahadhari ya dawa mbalimbali.
Ulishawahi kuona mtu kafa kwa kunywa Metformin? Hiyo ni dawa sahihi kwa ugonjwa unaomkabili!
 
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume unalala wakati wamaandalizi na unasimama legelege pia hata nkifanikiwa kuingiza ukeni ntafanya dk4 ntakojoa nasiwezi kurudia tena au wakat mwingne uume ukiwa ukeni nafanya dk2 ulala tatizo hili limekua linafanya namuacha mke wamgu njian namitatizo linanitesa sana.

Wakuus nahitaji msaada wenu nipone nakuweza kumridhisha hamu zake mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi wanaume wa hiviiiii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulishawahi kupiga mavibration? Aka nyeto?
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo.

Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume unalala wakati wamaandalizi na unasimama legelege pia hata nkifanikiwa kuingiza ukeni ntafanya dk4 ntakojoa nasiwezi kurudia tena au wakat mwingne uume ukiwa ukeni nafanya dk2 ulala tatizo hili limekua linafanya namuacha mke wamgu njian namitatizo linanitesa sana.

Wakuus nahitaji msaada wenu nipone nakuweza kumridhisha hamu zake mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu swala sio kufa. Vifo vinatofautiana hio topic nyingine.

Daktari yupi kakuandikia hii dawa kwa ajili ya tatizo hili?

Embu elezea humu jinsi ya Metformin inafanya kazi mwilini?
Dawa nyingi zinatumika off the shelves.. Yani zinatibu gonjwa zaidi ya moja.. Ukinywa Metformin kwanza ukikojoa nje, bao unaweza kwenda kuliokotea kwenye nyumba ya jirani! Linarushwa mbali... Hii inadhihirisha kuwa dawa hii ina uwezo wa kuongeza nguvu za misuli ya uume na kuuwezesha kufanya kazi kama mtoto aliyebalehe juzi.
 
malembeka18 piga mazoezi ya kawaida angalau kwa siku mara moja.
Punguza nyama na pombe kama unatumia.
Kula matikiti na vyakula vya nuts kama karanga, almond, korosho, nazi.
Kula matunda kama matikiti, mbegu za maboga zinahusika pia.
Chemsha tangawizi weka asali mbichi na limao siyo ndimu.

Punguza vyakula vya wanga kwa wingi kama ugali, wali, vyakula vya ngano.
Kula vyakula vya kuchemsha chukuchuku au vya kuchoma kwenye moto siyo kukaanga na mafuta.

Pendelea samaki kuliko nyama za damu nyekundu(mbuzi, ng'ombe), pia punguza nguruwe(poke/kitimoto) kama unatumia hiyo kitu.

Wakati wa tendo jaribu kuhamisha mawazo mbali na huyo shemeji wakati fulani, punguza kasi ya kusugua, nenda taratibu.
 
Back
Top Bottom