"uume siyo pesa"

"uume siyo pesa"

aka mie sitaki mbwembwe nataka pesa mie.

Muhimu wadau walijue:-

Mosi-Oya oya kaa ukijua starehe gharama (ingawaje sio wakati wote mnapogiga kazi ni starehe).

Pili-Rais JMK 'Ili ule lazima na wewe uliwe.kha we unataka ule tu bila kuliwa.'..wooote kicheko hahaa ...haaa ...Rais haha ..haaa eh..sina maana iyo...wote ha ..ha haaaa.

 
Kidogo nikuite shosti uje usikilize kilio kingine!
Mi nahisi kuna miaka ya juzi kati wazazi walidekeza sana watoto wao wa kiume,sasa wanakuwa wanataka wawe vichwa ila wakiletewa majukumu yanayoambatana na hicho cheo wanaanza kulalama!

CC. Swts

jamaniii!!! wanaume wavulana mutuwache tupumuwe!!
sio kwamba uume siyo pesa.. kukuinvte wewe ama wewe kuniinvite mie katika maisha yako..that means kuna kitu tuna mutual benefit from one another kama ur useless whats the point of u into my life?niwe nakazi ama sina...ur there lazima urekebishe mambo..ni jukumu lako...teh me kukurekebishia wewe ni maamuzi...
men u gotta put n stick this in ur nuckle heads!!sio mnalalamika tuu kelele mingiii
 
bila kunihudimia rafiki yangu utasoma namba!! haijalishi mume au boyfriend. unataka nani anihudumie kama sio wewe
 
Usilte ngonjeara hapa km huna hela kaa pembeni ww khaaaaa!!
Watu km ninyi mkiombwa pesa muna lalama hamfai kwa hii jamii ya sasa

kwani we husikii utamu...hadi mimi tu ndo nikupe pesa kila siku,maisha ni kusaidiana,mizinga ya kawaida ni sawa sio unigeuze mimi kama baba yako!
 
Mkuu uwe unasoma hadi mwisho sio ilimradi upate like za kina Dada/Mama... Kasema imekuwa too much ila sio kama kutompa hela kabisa.

Pili kabla ya kumtongoza na kuanzisha uhusiano alikuwa hapendezi hapo mwanzo?

sidhani hizo like zinanisaidia chochote mimi? nina uhuru wa kutoa maoni na huo ni mtazamo wangu, wewe umeona hilo la too much tu basi hujaona kama utamu mnapata wote?
pia hapo penye red jibu alikuwa anapendeza ndio maana ukampenda! ila hakuwa anaingiziwa uchafu wa mwanaume huyo anaye lialia kwenye papuch yake hivyo ni lazima alipie gharama za usafi wa mili wa bidada yetu! pengine mwanaume husema baby ukivaa hivi napenda kweli unaelezwa basi ili niendelee kuwa hivi mara nyingi zaidi toa maintenance cost unaanza kulia! Kwanza elewa hakuna mahali nimesema nipeni like! kwa hiyo unataka msimamo wangu uwe sawa na wako?
 
wacha ubahili wewe mwanamke anatakiwa kutunzwa na kulelewa hata kama anafanya kazi ya maana,usipokuwa makini watakuchapia tena utakuta hiyo fedha anayopata ya mshahara ndiyo anaitumia kwenda kuhonga nje ili achapwe.
 
No free lunch
ni kwel hatutakiwi kupenda vya bure kihivy bt wadada zetu most of u mnazid (yani kuna wengine nashindwa hata kuwatofautisha na wale wakimboka) mara naomba hela ya kula, kusuka oooh dear mama mgonjwa mara kodi ya nyumba imeisha xax mi najiuliza nato... Kod ,nywele au nn we tushamaliza ku do mambo yetu chukua kumi lako kaa pemben na sio kuanza kunifungulia faili la xhida zako kama umefika us aid centre
 
Imenibidi nije na UZI huu kutokana na saikolojia ya wanawake wengi pindi watongozwapo na wanaume na kuanza uhusiano nao,wengi hudhani kuwa sasa ni mwanzo wa maisha yao kubadilika kiuchumi,mwanzo wa mahusiano anaweza ukahisi umepata mwanamke sahihi,baada ya muda anaanza MIZINGA mara naomba PESA ya kula,naomba PESA ya salon,naomba PESA ya kulipia kodi ya chumba nk.Hivi ulivyokubali kirahisi KUMBE ulikuwa na lengo la kumfanya mwanaume kuwa ATM,uchote pesa kadiri utakavyo..? Pia utakuta mwanamke ana kibarua chake ila anajitoa ufahamu na kuona PESA hazifai kutumia kwa matumizi yake zaidi ya kuomba kwa wanaume,nasema wanaume wengi wameanza kushtuka na USANII wenu..Hata kama mwanaume ni KICHWA cha familia/mahusiano ila NJAA zenu zimezidi kwa baadhi ya wanawake..!@! Kama UTAMU mwapata wote ya nini kupeana STRESS za kijinga kijinga..???

Hata wanaume wengi ni hivyo hivyo, so hilo si wanawake pekeao
 
Kichwa cha habari hakiendani na Habari yenyewe!!Jipangeee....:smile-big:
 
MWANAUME ATAKULA KWA JASHO MWANAMKE ATAZAA KWA UCHUNGU.......mi hua napiga kaz kwa bidii sana ata ofisin wananjua ila nkipokea tu mshahara brake ya kwanza kwa my sweet tunatumi I don't care na wala siwez lalamika manake shez ma sweet potato.
mpe uyoo!! we tuhela twa saluni na vocha tunakutoa jasho sasa majukumu ya kifamilia utaweza kweliii??
 
Yaani hili nalo ni la kutungia Uzi Mkuu! Tafuta hela Mkuu. Pambana bana la sivyo wanawake wazuri utaishia kuwaita Shemeji!!!!
 
kuna msemo wa kithungu unasema you can give without loving but you cant love without giving! kwaio kaka kwa haraka haraka haujakolea ww uko uliko ukikolea ile ile wala isingekuwa ishuu ungekuwa unatoa tu ila kulingana na uwezo wako.
 
Wanaume wengi wamekua wabahili na wabinafsi.kaz kulialia nimeoa.namtunza mke na mtoto ipasavyo.nalipa bil zote...nawapendezesha wote.yes ndo jukum langu...wife anapga mzgo na Ela yake nadra sn mimi kuifuatilia.....mababu zetu walioa wake wengi Na waliwahudumia

Mmekua wanaume sarawili.huwez hudumia nenda konabaa au chawaputa

Aiseee duh!!!
 
hahaa shoga angu umenichekesha jamani
[QUOTE

=Smile;7652232]
539789_724767544204495_1797843906_n.jpg
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom